Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

Sijui maana ya dashboard. Kuna dashboard za aina ngapi?
Oh, okay. Zipo za aina nyingi, hasa materials zinazotumika na watengenezaji wa magari kwenye kuzifunika kwa juu. Zipo za plastic, leather, almunium, mbao etc.

Sema kitaani ukisikia dashboard, mara nyingi jamaa wanamaanisha pale kwenye mishale ya speedometer, rev counter na ile mingine ya mafuta na joto.
 
Oh, okay. Zipo za aina nyingi, hasa materials zinazotumika na watengenezaji wa magari kwenye kuzifunika kwa juu. Zipo za plastic, leather, almunium, mbao etc.

Sema kitaani ukisikia dashboard, mara nyingi jamaa wanamaanisha pale kwenye mishale ya speedometer, rev counter na ile mingine ya mafuta na joto.
Nakuelewa sasa. Unajua pale mwanzoni mini nilidhani watu hawa wame-specialize kwenye vitu ambavyo vinatumia material ya nguo au ngozi. Sasa lilipokuja tena swala la dashboord likanipa shida kidogo kwa sababu ninavyojau dsahbooard haiwezi kutengenezwa kwa material hayo. Kwa ufafanuzi huu sasa nimekuelewa
 
Maisha ni kujifunza
Maswali yote ni muhimu

Dahsboard - ni eneo la mbele la gari kwa ndani( kuna ya juu Na ya chini), ni sehemu ambayo ni muhimu Na makini kwmeye gari.

Kuna dahsboard zimeyengrnezwa Na material tofauti kutokana Na mwaka wa gari Na utofauti wa designer wa magari hayo.

Kwa sasa kuna magari dashboard zake zinaharibika siyo kutokana Na jua kama wengi wanavyo lalamika bali kutokana Na material Mbaya iliyotumika hivyo baada ya Muda zinaanza kuonesha nyufa ama kunata - sasa hapa ndiyo @safari_automotive wanatafutwa kwasababu wanazingatia masharti yote ya Usalama
.

Kwa wale wanaopenda kubadilisha kwa urembo pia nao wanakaribishwa

Nadhani tumeelimika hapa

Ahsante
SAFARI Automotive Spokesman
0754757431
 
Vipi bei zenu nataka kufanya full cover ndani gari yangu ni mazda cx 5 mwaka 2012 ...gharama ni sh ngapi ...na itachukua siku ngapi??
 
Ukitaka kupimp waone riderking hutajuta mzee wa kazi,mimi nataka nipimp subaru yangu iwe V8 sijui nitawezana
Wale ma expert wa pale ni wakenya .....na wakenya wapo vizuri sana wametuacha sana katika modification za magari .......hata moshi gereji nyingi wamejaa wakenya

sent from HUAWEI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom