Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

Nani huyo mnamzungumzia.?
Mbona mi safari waliniambia Mark X laki 6 dashboard tu?..
Ilibidi nikae pembeni kwanza..bei gani hio js for dashboard?..
Duu! Parefu. Safari ya wapi hiyo? Dsm, Mwanza au Arusha? Nafikiri wazo zuri ni kufanya gari zima usahau.
 
Ya Dar....i was shocked..its overpriced i thnk
Kazi yao kweli ni nzuri ila bei sipati uwiano mzuri..

Gari zima labda km limechoka
Bt dashboard ndo common issue
Okay. Ni kweli, kwa dashboard pekee, laki 6 ni parefu.
 


Hawa jamaa ni wabunifu saana, sijui wamejifunza wapi hii kazi, maana kazi zao kwa kweli ni level nyingine.

Sio kazi tulizozoea kuziona kwa mafundi wetu wa mtaani.

Wanatengeneza seat covers, roofs, carpets, dashboard, steering cover etc kwa quality ya juu kiasi kwamba inaonekana vizuri kuliko hata interior ya baadhi ya luxury brands.

Safi saana. Soon tutaweza ku-pimp magari yetu ya kizamani tunayoyapenda na kuyapa muonekano wa kisasa.

Big up sana.

Weka bei tujipime mifukoni mkuu!
 
Hivi hawa jamaa kwa waliopeleka magari yao bei zao zipoje?

Kuna ka Premio kangu nataka niwapelekee nifanye gari zima sijui watanicost sh ngapi?

All in all,kazi zao zinavutia kwakweli!!
 
hawa jamaa hawana customer care kabisa niliwahi kuwatembelea walivyonipokea tu nikabadili uamuzi wangu wa kubadili roof ya gari. Ila wanafanya vizuri ila customer care siyo nzuri kabisa.
Isijekuwa wameota mapembe mkuu, na hii itakuwa hatari sana kwao, na kama ni kweli unachokisema basi nguvu kubwa wanayoitumia kutengeneza bidhaa zenye ubora itakuwa kinyume na retuns yao. Aisee nyie jamaa, mdau huyu hajapenda mlivyompokea, em rekebisheni vikasoro hivyo vidogo vidogo! muweze kutengeneza soko mpaka na nyie muwe exporters.( Made in Tanzania sio title ndogo hiyo inapokuwa kwenye foreign markets)
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom