Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

Pole sana kwa yaliyokukuta nia Na dhumuni la SAFARI Automotive siku zote ni kukupa huduma Bora Na kazi yenye Ubunifu mkubwa sana.

tunamshukuru Mungu sana watanzania wametupa support kubwa sana - Na ata nilipoambiwa nije huku kuangalia maoni yenu Na kujibu nilikimbia faster kwasababu kwetu kila mtu ni mteja (nani asiyependa magari)??
Sawa tunashukuru
Kazi zenu kweli nzuri
Ila ndo dashboard kidogo tu laki 6 jmn?

iliniuma
 
Pia nashauri kuwe na option ya kuweka pure leather. Kuna watu ambao gari zao zimekuja na leather kutoka kiwandani, ila leather imechanika au imekwisha, so wanahitaji hiyo material ili kuirudisha gari kama ilivyokuwa mwanzo.
 
Habari ya asubuhi

Kila kitu kina utaratibu wake Sir, ingekuwa rahisi tungetoa Bei zote tena kwa mfumo Mpya kabisa lakini hapa tunafanya kazi na magari zaidi ya aina 100 naanzia wapi kutaja bei tu.

Alafu ni rahisi sana wote mnaweza kuwa Na Toyota IST ya mwaka Na model moja lakini uhitaji ukatofautiana kutokana Na uhitaji wa Mteja Na uhitaji wa gari husika.

Sijui kama umenielewa- ingekuwa ni issue ya bei kama matikiti maji ama mananasi ambayo is nayo yanatofautiana bei Mbona tungesha fanya siku nyingi.

Ni swala la kijiamini- ukipiga simu moja ndani ya dakika moja unapata majibu yote

Shida inakuwa wapi??

0754757431

Karibuni Sana
 
TUNACHORA SIYO KUSHONA @safari_automotive
0754757431
Karibuni
IMG_6062.jpg

IMG_5296.jpg

IMG_8368.jpg

TUNA
IMG_1172.jpg

CHORA
IMG_0150-2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom