Magufuli/ccm hawezi shidwa kwenye box la kura..maisha sahau hiyo..haya mambo hayataki asira BWANA YULE MTUKUFU Mfalme ngoja ajikanyage 2020 hatufanyi kosa.
swissme
Tumeacha Siasa za harakati
Chapa kazi wewe acha siasa.Pamoja na mipango na mbinu nzuri za kisiasa zilizowafikisha hapo walipo CDM ila sasa naona wanaishiwa pumzi.
Hivi unawezaje kuota doto ya kumng'oa Rais Magufuli kama haya tu ya kawaida ameyafanya na umefuata.
1. Amezuia bunge live, mmekubari.
2. Amezuia mikutano halili ya kisiasa, pamoja na mipango yenu mfano UKUTA bado amewashinda.
3. Amenipitisha sheria mbovu za habari za kukubana bado amewashinda
Hiyo mipango ya kumng'oa mtaifanyaje kama hamuwezi hata kufanya mikutano, hamuwezi kuandika baya juu yake, hamuwezi kuonekana hata kwenye TV wala magazetini..
Nawashauri muanze na haya madogo aliyowashinda kuliko hili kubwa.
Alafu mngejua haya yote Magufuli anayafanya kwa lengo la kuua upinzani basi mngeanza kuwa serious.
Bahati mbaya mnafanya siasa katika taifa la watu wenye uelewa mdogo mno, poleni sana CDM.
View attachment 436647
Shauri zako kuna kale ka sheria ka mtandao...utaitwa mchochezi.
Hata ulichopost ni tope!!Kilichojaa kichwani mwa chadema ni matope, siyo ubongo.
Ahsante.Kupambana na mtu ambaye yuko radhi kunyomfoa roho za wananchi wake kwa ajili ya kujihami inatakiwa upambane naye kwa akili Sana,vinginevyo unaweza ukajikuta umepoteza wafuasi wako wengi kwa kufungwa jela na kuuawa kwa raia wasiokuwa na hatia.
Umesafisha banda la nguruwe?Kilichojaa kichwani mwa chadema ni matope, siyo ubongo.
Wewe mvuta bangi hata usipoipigia CCM inashinda tuhaya mambo hayataki asira BWANA YULE MTUKUFU Mfalme ngoja ajikanyage 2020 hatufanyi kosa.
swissme
[emoji57] mbona kichwa yako imejaa shaha.wa hatusemiKilichojaa kichwani mwa chadema ni matope, siyo ubongo.
Naona unaota huku unatembeahaya mambo hayataki asira BWANA YULE MTUKUFU Mfalme ngoja ajikanyage 2020 hatufanyi kosa.
swissme