Hizi Picha zinafikirisha sana.

Hizi Picha zinafikirisha sana.

Ni hawa hawa waliotaka kumfunga, sasa wamegeuka baada ya kifo chake kwa kuona kwamba kifo chake kimewagusa Watanzania wengi basi wameununua msiba. Mbona hatukuwaona wakati alipokuwa na kesi kwenda kumsupport?
Kwa mitazamo hii ndio maana mnakuwa hamjielewi. Chama kimejaa ukweli na hakina unafiki ndani yake. Ukikosea unawajibishwa tu bila ya kujali Ww ni nani na uko chama gani??! Angalia kinachompata Diamond kwa sasa. Unataka abebwe eti tu kwa kuwa ni CCM??!! Huo ni upuuzi ambao huwezi kuukuta ndani ya CCM. Wema si alikuja huko lakini mwenyewe karudi anapoona panamfaa. Nyie pigeni porojo zenu lakini mwisho wa siku tutaziona mbivu na mbichi.
 
Acha ujinga wa kutaka kubadili mjadala na kuingiza watu ambao mjadala hauwahusu.

Kwa mitazamo hii ndio maana mnakuwa hamjielewi. Chama kimejaa ukweli na hakina unafiki ndani yake. Ukikosea unawajibishwa tu bila ya kujali Ww ni nani na uko chama gani??! Angalia kinachompata Diamond kwa sasa. Unataka abebwe eti tu kwa kuwa ni CCM??!! Huo ni upuuzi ambao huwezi kuukuta ndani ya CCM. Wema si alikuja huko lakini mwenyewe karudi anapoona panamfaa. Nyie pigeni porojo zenu lakini mwisho wa siku tutaziona mbivu na mbichi.
 
Unajua wengi wenu humu mmejaa chuki zinazowamaliza kimyakimya bila ya kujijua. CCM haina unafiki hapo. Ukikosea unawajibishwa tu haijalishi wewe ni nani? Yeyote popote atapewa anachokistahili.
 
Ni hawa hawa waliotaka kumfunga, sasa wamegeuka baada ya kifo chake kwa kuona kwamba kifo chake kimewagusa Watanzania wengi basi wameununua msiba. Mbona hatukuwaona wakati alipokuwa na kesi kwenda kumsupport?
Nani? Akwilina?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mshana jr ukuje huku. Eleza walivyompata huyu kuwa KADA au ndo ulikuwa unatutonya kuwa, ilibidi mutu afwe?? Chama changu hiki kina mambo.
 
Awa jamaa wa magwanda na kifo cha huyu dada kina utata
 
Yani hovyo kabisa.


Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana
 
Green guard msiba wa Agness? mmh mambo ya kijinga why jambo kama msiba litumike kisiasa? shame on them
 
Back
Top Bottom