Hizi Picha zinafikirisha sana.

Hizi Picha zinafikirisha sana.

eeeeh YESU!
Kafanyaje tena na wewe??

Hebu muache Mwana wa Adam atuandalie makao usimsumbue na hii mambo ya dunia mbona aliisha maliza kazi yake.

Alituachia msaidizi usihofu atatenda tu kwa namna impendezayo Mungu.
 
Nyie kuleni raha tu hapa mjini wakati wazazi/ndugu wanapata shida huko vijijini halafu nmawachukia wanaoenda kila mwaka kwa kuwapa maneno ya kashfa kuwa wanaenda kufagilia makaburi.
 
Katika uhai wake hakuwahi kuonyesha kama yeye ni KADA, kama kuna ushahidi wa kuonyesha aliwahi kuwa KADA basi uwekwe hapa.
Labda Mzee Gerrard ni Kada Maarufu huko Mbeya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Katika uhai wake hakuwahi kuonyesha kama yeye ni KADA, kama kuna ushahidi wa kuonyesha aliwahi kuwa KADA basi uwekwe hapa.
Kikweli sidhani kama alikuwa kada
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unapokuwa unatokea familia duni na ya kinyonge tarajia haya kutokea! Hakuna mwenye say hapo!
Its Sad!
 
Back
Top Bottom