Jiulize kesi yake ya madawa inaisha... haupiti mwezi anakufa. Hivi unajua maiti huwa haiongei?Unasema [emoji101]
Yaani kila kitu waonekane wao tu. Wanaboa sanaHuku ndio tulipofika wafanye wao tu
Kwa kadiri ninavyokumbuka, marehemu aliwahi kuwafanyia kazi kubwa sana watu wale....alionekana na mabegi makubwa makubwa, yakapita bila kukaguliwa, yaani vikaguzi vilizimwa vyooooote siku anapita.Hili swali zuri sana ingependeza jibu likapatikana.
Na mimi sina jibu.Kwa kadiri ninavyokumbuka, marehemu aliwahi kuwafanyia kazi kubwa sana watu wale....alionekana na mabegi makubwa makubwa, yakapita bila kukaguliwa, yaani vikaguzi vilizimwa vyooooote siku anapita.
Watwana wa kule walipokamata mabegi, wakakomaa sheria itendeke; wakatoka wazito watatu kutoka kwetu kwenda bondeni kuyamaliza.....jibu likarudi ni vitu fulani tu vya kutengenezea madawa baridi, alitumwa apeleke kule; hakuwahi kuwa mfamasia wala mtumishi wa mzizi uliojichimbia zaidi....
Akaja kujisifu kuwa keshakuwa raia halali wa bondeni, kwa hakika alionesha hadi kitabu chake kipya; yaani alikuwa na namna gani pacha.
Na leo kwenye jiji la kijani, ukijani umetawala safari yake ya mwisho.....je alikuwa ni nani?
Yaani kila kitu waonekane wao tu. Wanaboa sana
Kumbee hii sikuisikia [emoji28]Steve Nyerere alitoa shukrani msibani kuwa Mkuu wa Mkoa ndio amewezesha/amefadhili? gharama za kupeleka mwili wa marehemu Mbeya. Labda moja ya masharti ya msaada husika ni kuvaa magwanda ya kijani/CCM....Pambaf....
SawaNa mimi sina jibu.
Tubaki hapahapa jibu tutalipata
Aliye waroga hao Vijana alishakufaMhhhhh yani alie waroga hawa vijana wa lumumba basi mganga wake kiboko.. hawa vijana hawana akili kabisaa na wanapenda kujichoresha.. sasa kuvaa uniform kwenye mazishi ya msanii lengo ni nini!?? Marehemu kafanyiwa mangap maovu na hakuna mwenye uniform ya kijani aliyekwenda kumpambania mahakaman enzi za uhai wake!.. wakati mwingine shule nayo ni nzur naona kwasabab mtu mwenye akili timamu huwez kuvaa sare zile kwenye msiba kama huu..