Wamefanya ujinga mkubwa sanaDouble Standard ya wazi kabisa
DuuuuuuuuuDouble Standard ya wazi kabisa
Zinazungumza Mengi mnooo. View attachment 754228View attachment 754229
Wengi wangekuwa mochwari na wengine wangekuwa wametenguliwa viunoNawaza kwa sauti tu.
Hivi ule msiba wa yule dogo wa Mbeya wale wabeba jeneza wangevaa Gwanda sahivi wangekuwa na hali gani?
Mwenye Majibu Tafadhali..Hili swali zuri sana ingependeza jibu likapatikana.