Hizi Picha zinafikirisha sana.

Hizi Picha zinafikirisha sana.

iwe endelevu hii master plan ya polepole..
 
Basi mimi ndo nasema hivyo... amini usiamini.
Mkuu,nimeona maneno kama haya kwenye uzi mmoja,nasubiri kusikia mengi zaidi maana dunia haina siri. Pia siri hudumu kulingana na usmart wa mfanyaji.
 
Ni hawa hawa waliotaka kumfunga, sasa wamegeuka baada ya kifo chake kwa kuona kwamba kifo chahe kimewagusa Watanzania wengi basi wameununua msiba. Mbona hatukuwaona wakati alipokuwa na kesi kwenda kumsupport?

Wakati ule alikua against Jamuhuri sasa kawa kiumbe chema.
 
Aseee. Haki ya MUNGU. kwani wakienda kuzika bila kuvaa hayo matambara yako marehemu hafiki mbinguni.
Nina wasiwasi hata marehemu analalamika sana walivyombeba.
 
Mkuu,nimeona maneno kama haya kwenye uzi mmoja,nasubiri kusikia mengi zaidi maana dunia haina siri. Pia siri hudumu kulingana na usmart wa mfanyaji.
Bashite hatoki kwenye hili sakata... amini usiamini.
 
Back
Top Bottom