Hizi picha zina ukweli??

Hizi picha zina ukweli??

Yawezekana zina ukweli ndani yake. Mimi naamini aliyeziweka anakibali cha kuziweka na anaweza kututhibitishia hilo.
Nilicho kipenda hapa ni kwamba:
1: Huwezi kumtambua mtu mwenye tatizo kwa kumtazama tu, ni vizuri kupima.
2. Ukiwa umepata tatizo, ni vizuri kuzingatia masharti ya wataalamu ikiwa ni pamoja na kutumia dawa husika.
3: Si vizuri kujivicha ukiwa umepata hili tatizo, jitokeze na utafute matibabu/dawa
4.Husikatetamaa ya kuishi kwani kuna uwezekano wa kuendeleakuishi ukufuata maelekezo
5.Watu wawe makini na wachukue tahadhari kwani huu ugonjwa hupo
 
Ndio Mpwa, Kwahio tayari tunakua na kinga mwilini ya kutosha tu, usiogope kujilipua lakini kabla ya kujilipua fikiria kuhusu watoto wako, familia yako, ndugu zako, mali zako na mateso yake, plus Denial kutoka kwa ndugu. Fanya ile inaitwa Cost benefit analysis

You are strong than what you think...
Kama niivo basi haina haja ya kuzitumia niongeze mwili itanibidi nile sana kuku kwa wingi sasa mpwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka, mbona Umeongea kwa kuumia Sana? What's wrong? Kikubwa ni kumshukuru Mungu kila ukiamka hujapungua kilo

You are strong than what you think...
Mpwa yani haya mambo yaone hivi, sisi tulioamua kuwa na familia ni ngumu mno. Nasemea uhalisia tu, sio kwamba kuna kitu personal.
 
Mpwa yani haya mambo yaone hivi, sisi tulioamua kuwa na familia ni ngumu mno. Nasemea uhalisia tu, sio kwamba kuna kitu personal.
Nimekuelewa saaaana ndugu yangu! Inatisha saaana! Mwaka Ukiisha bado Umzima unamshukuru Mungu tu! Tunafanya Makosa mengi Sana Sana!

You are strong than what you think...
 
Hata kama picha hazina ukweli, lakini kuna funzo zinatoa kuhusu maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Kwamba huwezi kumtambua mtu aliyeathirika kwa kumtizama.
Tahadhari za kujikinga dhidi ya maambukizi ni muhimu kuzingatiwa wakati wote. Mathalani ukimtizama mrembo huyo pichani, ikitokea akakurudhuku game, kwa wale mabaharia uwezekano wa kuloweka ni mkubwa sana.
Allah atunusuru Wallahy

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli atunusuru

Kweli kabisa hiyo picha ya kwanza iko Instagram jamaa ka post maombi kwa huyu boda boda, yaani kamtamani mpaka anataka ku gongwa na gari..
_20190406_071646.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom