Hizi picha zina ukweli??

Hizi picha zina ukweli??

Umewaza vyema Sana Sana aiseeee! Ila tuwaache Wafe ili tujilinde?

You are strong than what you think...
 
Hahah Tuache kabisa? Hapana, Hakuna sex nzuri Kama kuwa na mtu unayempenda! No matter what, mbebe huyo kila unapokwenda!

You are strong than what you think...
Utampenda, utajilinda....
Kumbe mwenzako anatoa nyapu kila akijisikia.

We're not safe, no one is safe!!
 
Hahaha hapa panaumiza Sana Sana aiseeee! Dah ila good thing ni kwamba utakua Umefanya kwa sehemu yakoa
Utampenda, utajilinda....
Kumbe mwenzako anatoa nyapu kila akijisikia.

We're not safe, no one is safe!!

You are strong than what you think...
 
Utampenda, utajilinda....
Kumbe mwenzako anatoa nyapu kila akijisikia.

We're not safe, no one is safe!!
Kaka, mbona Umeongea kwa kuumia Sana? What's wrong? Kikubwa ni kumshukuru Mungu kila ukiamka hujapungua kilo

You are strong than what you think...
 
Utampenda, utajilinda....
Kumbe mwenzako anatoa nyapu kila akijisikia.

We're not safe, no one is safe!!
No one is Safe.... Dah kweli tupu

You are strong than what you think...
 
Utampenda, utajilinda....
Kumbe mwenzako anatoa nyapu kila akijisikia.

We're not safe, no one is safe!!
Kumpenda sio ishu sn, ila hapo kwenye kujilinda ndo pagumu...!!!

Wanaume tunafeli sn hapa. Na kinachotufelisha ni kukaa na demu mmoja muda mrefu. Ni rahisi sana kuanza kumwamini na kujiachia.

Wao wanatoa nyapu, na sisi tunapiga mashine kila tunapojisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha Wazee naona Mada imetuumiza Sana
Kumpenda sio ishu sn, ila hapo kwenye kujilinda ndo pagumu...!!!

Wanaume tunafeli sn hapa. Na kinachotufelisha ni kukaa na demu mmoja muda mrefu. Ni rahisi sana kuanza kumwamini na kujiachia.

Wao wanatoa nyapu, na sisi tunapiga mashine kila tunapojisikia

Sent using Jamii Forums mobile app

You are strong than what you think...
 
Mbona alama zipo nyingi Sana tu! Sema nguo zinaficha mengi, kuna mtu ndani anakua na mapele Kama mamba

You are strong than what you think...
Sasa ndani unapaonaje, si baada ya kuingia nae ndani na kumvua tayari..?? Na sisi wanaume ukishamvua mwanamke, na mnara uko 4G kuna nn tena, utaishia kusema labda aliumwa tetekuwanga utotoni. Unapima oil unaona ipo safi, unapiga mashine huku unajifariji

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
 
Mbona alama zipo nyingi Sana tu! Sema nguo zinaficha mengi, kuna mtu ndani anakua na mapele Kama mamba

You are strong than what you think...
Na ukisha ya vulia maji nguo lazima uoge ata kama uta kuta .com kibao hatari kweli kweli!!!?!
 
Back
Top Bottom