Hizi picha zina ukweli??

Hizi picha zina ukweli??

Hata kama picha hazina ukweli, lakini kuna funzo zinatoa kuhusu maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Kwamba huwezi kumtambua mtu aliyeathirika kwa kumtizama.
Tahadhari za kujikinga dhidi ya maambukizi ni muhimu kuzingatiwa wakati wote. Mathalani ukimtizama mrembo huyo pichani, ikitokea akakurudhuku game, kwa wale mabaharia uwezekano wa kuloweka ni mkubwa sana.
Allah atunusuru Wallahy

Sent using Jamii Forums mobile app
Upande mwingine ni promo ya arv. Hiv ni ugonjwa rahisi sana kukrotol ukishaupata.

Muhimu utulize akili....mengine ni managable.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom