Hizi picha zina ukweli??

Hizi picha zina ukweli??

Kulla. Kula. Kuishi ni Mara moja, there's no future in the past... Yaani kula huku unajua unachokifanya!!
Mi nakula hata kama anatumia ARV, si wanasema mnaweza kuoana na msiambukizane pia

You are strong than what you think...
 
Hatari mnooo...!!! Ila ningetaman sn ngoma ingekuw hata na alama usoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haisaidii kitu... Twende siku ya Clinic yao then uangalie vifaa vilivyotulia, lazima Itasimama tu kisha unamuona anachukua dawa zake! Ni kujitambua tu Nadhani....

You are strong than what you think...
 
Hahaha unaogopa kutongoza kisha mwenzio anakuja anakula mzigo live! Maisha yanaendelea unasubiri augue holaaaa!
Usiogope kuisha mkuu, vita ni vita heri shari kamili kuliko nusu shari. Kwa hali ilivyo wengi ni wagonjwa na wamenona haswaa.

You are strong than what you think...
 
Ukienda kwenye klinic za huu ugonjwa unaweza usiamini watu unaowaona pale....watanzania tumezoea kila unaposafiri kwenye basi kwenda mkoan ukikaa na mwanamke unawaza kumtafuna...vip utasafiri mara ngap na kutafuna wangap...
 
Dah acha kabisa aiseeeee! Mimi binafsi nasafiri Sana Sana, hakuna Mkoa Tanzanite sijafika! Siku moja kuna mtu akaniuliza, unawezaje Kulala Lodge alone kwa week nzima au week mbili tatu bila mwanamke! Nikajiuliza, hivi huku kote ninakosafiri nikisema kila mahali niwe na mtu au nilale na mwanamke nitaishi Kwelli? Mbeya? Tunduma? Sumbawanga (barmaids), Naomba, Singidani, Kigoma (weusi, Wanene, wazuri), Moshi, Iringa hizi Baridi za huko... Mtwara na Lindi Aaahhh, Ukivuka maji hapo Unguja ukifika pale CCM unawakuta wa kiume na wa kike!

Ni suala la mtu binafsi, Huwa nakaa Bar hadi inafungwa au Nachoka na Naondoka alone! Barmaid ukimnunulia chips na Bia basi anajua kwisha.... Never!
Ukienda kwenye klinic za huu ugonjwa unaweza usiamini watu unaowaona pale....watanzania tumezoea kila unaposafiri kwenye basi kwenda mkoan ukikaa na mwanamke unawaza kumtafuna...vip utasafiri mara ngap na kutafuna wangap...

You are strong than what you think...
 
Mkuu, ni nani huyu? Hem' tupe japo details sisi tusiojua kitu.

Mungu atusaidie, tuwe waaminifu, tutumie kinga au "tuache ngono kabisa".
Hahah Tuache kabisa? Hapana, Hakuna sex nzuri Kama kuwa na mtu unayempenda! No matter what, mbebe huyo kila unapokwenda!

You are strong than what you think...
 
Kwahiyo kama mnavyoona wenyewe, lengo la ARV ni kuhakikisha mgonjwa anausambaza 'Ukimwi' kwa watu wengi zaidi na kwa muda mrefu zaidi ili kuhakikisha madawa mengi zaidi ya ARV yanauzwa ili kuhakikisha faida za kutosha toka kwa watumiaji wa dawa hizo.
 
Umewaza vyema Sana Sana aiseeee! Ila tuwaache Wafe ili tujilinde?
Kwahiyo kama mnavyoona wenyewe, lengo la ARV ni kuhakikisha mgonjwa anausambaza 'Ukimwi' kwa watu wengi zaidi na kwa muda mrefu zaidi ili kuhakikisha madawa mengi zaidi ya ARV yanauzwa ili kuhakikisha faida za kutosha toka kwa watumiaji wa dawa hizo.

You are strong than what you think...
 
me nmemwelewa boda boda Wa kweny picha ya kwanza
Yaani picha ya kwanza kakoswakoswa na Gari bado hakomi, picha ya pili anakaribia kuingia mtaroni, boda Boda na wanawake bhana!
IMG-20190405-WA0010.jpeg
View attachment 1062971

You are strong than what you think...
 
Back
Top Bottom