Hizi picha ni sahihi kwa wadada zetu!!!!

shiumiti

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
435
19
Nimeona nipate ufafanuzi kwa great thinkers..... NI SAHIHI KWA MATANGAZO HAYA KUWA KAMA YALIVYO HIVI, AU HUU HI UDHALILISHAJI WA AKINA DADA??????
 

Attachments

  • ALAMA.jpg
    ALAMA.jpg
    28.5 KB · Views: 745
  • ALAMA2.jpg
    ALAMA2.jpg
    22.2 KB · Views: 229
Kwani wamelazimishwa kupiga hizo picha! Hatuzalilishwi ila wanawake tunajidhalilisha. Naongelea picha halisi zinazolalamikiwa na watu
 
zipo sahihi kabisa coz wale wasiojua kusoma itachukua sekunde chache tu kujua wapi anatakiwa aingie
 
Tena hizi ndio nzuri sana kwani zinawaambia wanaume au wanawake kuwa ukiingia choo si cha sex yako ujue una kazi aidha ya 'kususu'/ 'kuwiwi' umesimama badala ya kuchuchumaa na kinyume chake.
 
Back
Top Bottom