Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 3,552
- 3,808
Hii ya Kipumbav kabisa. Nilivoskia Wana ipromote nikajua bonge la dude kumbe hamna kitu
Hii ya Kipumbav kabisa. Nilivoskia Wana ipromote nikajua bonge la dude kumbe hamna kitu
😂😂😂😂😂Wahindi kuweni seriuos mmefikia hatua sasa mmeanza kutudharau.
Sawa tunajua ni maigizo na sio lazima yaendane na uhalisia, lakini ndo umchome mwenzio na ndizi mpaka damu zitoke hadi kufa?
Hizo risasi zinavyokwepwa sasa aaah!
View attachment 1795701
huyu jamaa kanivunja mbavu sana,, kiukweli hayo ma avengers sijawahi kuyapenda japo naona watu wanasema ni ma muvi mazuriHahaha huo mfano: kuku kapanda baiskeli bata....
huyu jamaa kanivunja mbavu sana,, kiukweli hayo ma avengers sijawahi kuyapenda japo naona watu wanasema ni ma muvi mazuri
kwanini mkuuHivi ni macho yang au una accent mpaka kwenye writing
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii Kali aisee uongo uliotiwa chumviWahindi kuweni seriuos mmefikia hatua sasa mmeanza kutudharau.
Sawa tunajua ni maigizo na sio lazima yaendane na uhalisia, lakini ndo umchome mwenzio na ndizi mpaka damu zitoke hadi kufa?
Hizo risasi zinavyokwepwa sasa aaah!
View attachment 1795701
Hivi mwendelezo wake ukoje, yule mwamba Nicholas Brody kweli alinyongwa?Homeland tamu sana
Sijui alikuwa anaimba vitu gani mpaka akapendwa kiasi kile!!Mitizamo inatofautiana wapo wanaozipenda hata watu wazima. Zamani alikuwepo mwimbaji mmoja anaimba nyimbo za kitoto za kipuuzi. Mr. Nice. Walikuwepo mashabiki wake wengi na aliuza sana.but mimi ilikuwa siwezi sikikiz nyimbo zake hata unipe na pesa.
Spartacusnapenda historical series,mnaweza recommend zozote ili niangalie?
Povu mujarabu kabisa 🤣🤣🤣Nmejaribu sana kuangalia baadhi ya series za mataifa mengine nmejikuta nashindwa kabisa hasa za:
1. Spain
2. Mexico
3. Philippines
4. Turkey
5. Korea
6. China
Hawa jamaa bado wana series za kitoto kitoto sana. Uhalisia unapotea kabisa. Ukichanganya na lugha ndo nakwazika kabisa kukaa niangalie motions na pia subs. Huwa nachoka.
Mexico na Spain huwa wana storie nzuri ila zinawashinda kuigiza. Kama Money Heist ilipasWa iiishie season 2 hasa hasa. Wakaivuta kipuuzi iwe ndefu na hali bado haikuwa that much serious. Idea ile wangepata watu wenye akili na serious wangetoa kitu kikali.
Nmejikuta nafurahia series kama
1. Breaking Bad
2. Better Call Saul
3. Ozark
4. Gangs of London
5. Rome
6. Carnivale
Etc. Pia nikiwa nmeangalia nyingi za wa Norway, Belgium, Canada. Hawa wanajitahidi. Ukiacha za USA na UK. Ambako pia huwa nikikuta zenye utoto utoto mwingi naachana nazo.
The 100 ilikuwa nzuri mwanzoni mpaka walipokuja iharibu seasons za hivi karibuni hasa season 7.
Binafsi sipendi niangalie Series uongo uwe wazi mpaka nianze kuona kuwa mtengenezaji aliniona mimi mtizamaji fala sana. Ni kunikosea heshima. Uongo unafaa kufanana na ukweli kabisa katika movies.
Ukitaka nisikae home kwako.rahisi sana.niwekee series/movie ya Nigeria,Ghana, Tanzania, South Africa,kihindi etc. Hizi huwa na upumbavu flani hivi wa kudhani watizamaji wote ni watoto wadogo.
😆 😆 😆 😆 😆Wahindi kuweni seriuos mmefikia hatua sasa mmeanza kutudharau.
Sawa tunajua ni maigizo na sio lazima yaendane na uhalisia, lakini ndo umchome mwenzio na ndizi mpaka damu zitoke hadi kufa?
Hizo risasi zinavyokwepwa sasa aaah!
View attachment 1795701