Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,314
usije kuta kuna coplo anamnyemelea'
Kweli weye bwanashamba; kwa kuwa huyu ni sajenti then kuna koplo lol!:becky: kuwa serious nduguyo yamemfika!
usije kuta kuna coplo anamnyemelea'
Hata hunifananishi ndiye yule umjuaye! Ila kwa raha ya JF usiweke ID yangu hapa ukipenda ni PM :becky: