Elections 2010 Hizi ni dalili za Dr.Slaa kushinda...

Kuna mtu anakumbuka polls za Fox News wakati wa uchaguzi wa Marekani na McCain alivyokuwa anaongoza dhidi ya Obama?

Tena hizo ni polls za kweli, siyo online polls za kujifurahisha. :tonguez:
 
Wingi wa mashabiki kwenye mikutano haimaanishi kitu, from past experience wengi wao hawapigi kura. Ikifika siku ya uchaguzi ohoo wako kwenye mihangaiko yao ya maisha.

kwa sasa nakuhakikishia watapiga kura ya ndiyo kwa Dokta Slaa
 
usibweteke na fikra za kizamani ambapo watanzania walikuwa wakiamini uchaguzi ni vita na siku ya uchaguzi walikuwa wakijifungia majumbani na familia zao..wachache waliokuwa wanaenda kupiga kura walikuwa wanarudi fasta home...hapo CCM inaiba kura ipendavyo...kwa sasa asilimia 80 ya watanzania wanaamini kuwa mabadiliko ni kupiga kura na kuzilinda..hata sasa watu wanabandika picha za wagombea wa upinzani kwenye nyumba zao..zamani fanya hivyo uone..utakuja pekuliwa na polisi kwa kosa usilolijua..
 
Watu mwaka huu watapiga kura. Watu hawakuwa wanajitokeza sababu hakukuwa na wa kumchagua.
 
Wewe endelea kujidanganya na 'past experience' as if waTZ wapo static. Ninachotaka utambue, ufahamu, uelewe na ujue ni kuwa waTZ wa leo siyo wa jana. Kalagabakho!

Kumbe hujui kuwa past ni good predictor of tomorrow. Walie yamini wabongo utasuuzika na roho yako.
 
JK aanze tu kujijengea mazingira ya kukubali matokeo ya yeye kushindwa vibaya sana. Aache kutumia vyombo vya dola ikiwemo usalama kuchakachua matokeo. Tumechoka uchumi wa nchi yetu kukaa mikononi mwa jangili Rostam Azizi.
 
Nani aliyekudanganya ukadhani kuwa rais anachaguliwa makanisani tu? :tonguez:
 
Back
Top Bottom