Elections 2010 Hizi ni dalili za Dr.Slaa kushinda...

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Hatimaye imethibitika kuwa tafiti zilizofanyika ni za kweli kuwa Dr.W.P.SLAA anatarajia kuibuka mshindi kwa zaidi ya 60% na ndiyo maana leo tena tumesikia chombo cha juu kabisa katika ulinzi wa nchi kikitoa angalizo kwa vyama kuwa lazima vikubalieni na matokeo yanayotarajiwa KUCHAKACHULIWA mapema baada ya wapendwa wapigakura kutenda haki yao.
Nawasilisha
 
LMg, sikubahatika kuisikia hiyo taarifa. Waweza kutuelewesha hiyo taarifa imetolewa na nani (hicho chombo cha juu cha ulinzi )
 
ana 45% na atakuwa ameshinda; hiyo ni baada ya kuchakachua na kuiba; katiba nzuri kweli mwenye maksi nyingi anachukua nch=i; mwaka huu patamu kweoli kweli; JOKA hili litakimbia
 
Simple majority. Nakumbuka niliota siku moja niliota ndoto nzuri kuhusu chadema. Nitaibandika tena mapema nov. 1
 
Sasa ndugu hii ndoto ina kasolo kidogo.Kama si hivyo kwa nini isubili hadi novemba 1.?Yani laisi silaa ataingia ikulu novemba 1 au laisi lipumba,au mutamwega?:tonguez:
 
Hatimaye imethibitika kuwa tafiti zilizofanyika ni za kweli kuwa Dr.W.P.SLAA anatarajia kuibuka mshindi kwa zaidi ya 60% na ndiyo maana leo tena tumesikia chombo cha juu kabisa katika ulinzi wa nchi kikitoa angalizo kwa vyama kuwa lazima vikubalieni na matokeo yanayotarajiwa KUCHAKACHULIWA mapema baada ya wapendwa wapigakura kutenda haki yao.
Nawasilisha

Chanzo cha habari ..?!
 
Labda kwa wabunge wachache na madiwani huko ndio mta pata pata ila wengi watakuwa CCM bungeni na wachache chadema ila RAIS ni JK kaujue hilo

Mpaka wizi ufanyike labda, vinginevyo, Dr (siyo Dk) atachukua dola
 
Si mmezoea kuiba kura? Mmeibiana hata kura zenu za maoni. SAFARI HII HAMUIBI TENA MAANA WEZI WOTE WAMEISHAWAKIMBIA KWA KUWA HAMKUWALIPA kitakachotokea kitawashangaza. 65% YAWATAZANIA NI MASIKINI NA HAMTAPATA KURA ZAO TENA.
 
Hivi mbona mie najua rais wa TZ ni Dr Slaa na sio DK Kikwete.....
 
Mpaka wizi ufanyike labda, vinginevyo, Dr (siyo Dk) atachukua dola

Wingi wa mashabiki kwenye mikutano haimaanishi kitu, from past experience wengi wao hawapigi kura. Ikifika siku ya uchaguzi ohoo wako kwenye mihangaiko yao ya maisha.
 
Wewe endelea kujidanganya na 'past experience' as if waTZ wapo static. Ninachotaka utambue, ufahamu, uelewe na ujue ni kuwa waTZ wa leo siyo wa jana. Kalagabakho!
 
LMg, sikubahatika kuisikia hiyo taarifa. Waweza kutuelewesha hiyo taarifa imetolewa na nani (hicho chombo cha juu cha ulinzi )

Aliyetoa taarifa hii nimesikia kupitia radio magic na TBC1 ni Luten General Abdulrahman Amir Shimbo kwa ajili ya majeshi yote ya ulinzi likiwemo jeshi na polisi
 
Hatutakubali matokeo kwa kisingizio cha amani.............jeshi linatakiwa kuhakikisha haki inatendeka kabla ya kuwatiisha watz...........watz wa sasa sio wale wa ndiyo mzee lazima tuhoji pale mambo km hayakwenda vizuri.............hivi viyishop vya hali ya juu hazisaidii na km kikwete anataraji anarudi madarakani hata kwa kumwaga damu wkt watz wamemchoka na nyie jeshi mpo tayari kuhakikisha anatimiza hiyo azma yake, basi tekelezeni na mwageni damu zetu ila hakikisheni ucga==haguzi unakuwa huru na wa haki
chadema ni rahisi kuc=shinda kwani ccm na cuf watagawana kura............
 
Back
Top Bottom