Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Ndo jiulize hapo ni kwanini unaota unafunga ndoa wakati ata Pete ya uchumba hujawai kuvalishwaSasa ntaolewaje na mtu ambae haonekani
Ndo jiulize hapo ni kwanini unaota unafunga ndoa wakati ata Pete ya uchumba hujawai kuvalishwaSasa ntaolewaje na mtu ambae haonekani
unachokiota ndicho unachokitaka (ubongo ndio unachokiwaza) jf kuna jukwaa la love connect kachague anaekufaa ufanye hivyo mfunge ndoa na mzae na watoto...Muda mrefu tu tokea enzi za Jk
Ni Ndoto ngumu sana kupata fasili yake, mazingira unayoishi yanachangia, kwamba hadi leo hujui unaamini katika dini gani? Hii imekusumbua sana kisaikolojia katika kuamua uabudie upande gani. Umekuwa mpweke katika lindi la mawazo ufuate kipi. Pole sana, hayo ni mapambano katika ulimwengu wa roho, kwamba unaweza kuolewa na mtu wa dini moja kati ya uislamu au Ukristo ila kipindi hicho utakuwa umeshachagua dini tofauti na ya mume wako.Hii ndoto hunirudia mara nyingi naota nimezaa mtoto,kila mara naota nimezaa katoto mara kananiongelesha bado kachanga,
Je ni ndoto tu za kawaida au leo nimeota nimejifungua mtoto tena halaf eti wanakuwa haraka ,na huanza kujiuliza sasa mbona nimejifungua mwanaume niliyezaa nae simjui na wala haonekanii nakuwa mim tu na mtoto,
Nyingine ambayo huota sana ni kuota nafunga ndoa ,nipo napambwa nishavaa shela naanza kujiuliza naolewa na nani,na sioni muhusika wa kunioa,watu wamejaa wanashangilia lakin mume simuoni
Au naota naolewa lakin hatufikii hitimisho simuoni mume,au nikimuota mpenzi wangu nafunga nae lakin naishia kuvaa shela kanisani sifiki baadae nashtuka
Au ni kawaida tu wakuu
he he! kuna jambo nilikuwa nimesahau hilo la pili hata mimi naliweza lkn si ndoa he he he.Sawaa
Kiimani ndoto zako ni tatizo, unaweza kushirikisha uongozi wako wa kidini(kiimani)Bado
Asante kwa ushauriNi Ndoto ngumu sana kupata fasili yake, mazingira unayoishi yanachangia, kwamba hadi leo hujui unaamini katika dini gani? Hii imekusumbua sana kisaikolojia katika kuamua uabudie upande gani. Umekuwa mpweke katika lindi la mawazo ufuate kipi. Pole sana, hayo ni mapambano katika ulimwengu wa roho, kwamba unaweza kuolewa na mtu wa dini moja kati ya uislamu au Ukristo ila kipindi hicho utakuwa umeshachagua dini tofauti na ya mume wako.
Amua leo, pia kuna uwezekano mkubwa kwamba unanyemelewa na jini mahaba, linaweza likakusumbua, usiolewe au usipate mtoto.
Ufanye nini?? Waone watumishi wa Mungu watakusaidia na utapata mwarobaini. Usijaribu kwenda kwa "mtaalamu" atakuongezea mengine na utakuwa katika matatizo makubwa. Waone watumishi wa Mungu watakusaidia bure kabisa.
Wewe Binafsi Ingia katika dua, kama utamwamini Yesu Omba kwa jina lake, kama ni Mtume basi Omba kwa jina la Allah utapona.
Hizo ni dalili mojawapo za jini mahaba kwa wanawake. Kuota unaujauzito, umeolewa huku ungali bado n.k
Dalili za jini bahaba kwa mwanaume ni
Kuota ulifanya mapenzi na mwanamke usiyemfahamu
Na Ukiota umefanya nae mapenzi, basi hutakojoa (kutoa wazungu). Katika hali ya kawaida mwanaume akiota amelala na mwanamke ni lazima akojoe(Ndoto nyevu huitwa).
Mwisho nikupe Pole.
Unajin mahaba usipoomba hutoolewa na linaweza kukubebesha mimba ukazaa mtoto jin na ukiolewa hakuna kuelewana na mwenzio had ndoa ivunjike,anza kumwomba mungu mapemaHii ndoto hunirudia mara nyingi naota nimezaa mtoto,kila mara naota nimezaa katoto mara kananiongelesha bado kachanga,
Je ni ndoto tu za kawaida au leo nimeota nimejifungua mtoto tena halaf eti wanakuwa haraka ,na huanza kujiuliza sasa mbona nimejifungua mwanaume niliyezaa nae simjui na wala haonekanii nakuwa mim tu na mtoto,
Nyingine ambayo huota sana ni kuota nafunga ndoa ,nipo napambwa nishavaa shela naanza kujiuliza naolewa na nani,na sioni muhusika wa kunioa,watu wamejaa wanashangilia lakin mume simuoni
Au naota naolewa lakin hatufikii hitimisho simuoni mume,au nikimuota mpenzi wangu nafunga nae lakin naishia kuvaa shela kanisani sifiki baadae nashtuka
Au ni kawaida tu wakuu
Hautajua maana ya kile unachokiotaSihitaji
Jini mahaba limekuoa ata Mimi pia nilikua naota naolewa au nazaa au nanyonyesha mtoto.......kutokana na imani yangu nikatafuta kanisa la kiroho nikaombewa sa ivi hiyo hali imeisha kabisaHii ndoto hunirudia mara nyingi naota nimezaa mtoto,kila mara naota nimezaa katoto mara kananiongelesha bado kachanga,
Je ni ndoto tu za kawaida au leo nimeota nimejifungua mtoto tena halaf eti wanakuwa haraka ,na huanza kujiuliza sasa mbona nimejifungua mwanaume niliyezaa nae simjui na wala haonekanii nakuwa mim tu na mtoto,
Nyingine ambayo huota sana ni kuota nafunga ndoa ,nipo napambwa nishavaa shela naanza kujiuliza naolewa na nani,na sioni muhusika wa kunioa,watu wamejaa wanashangilia lakin mume simuoni
Au naota naolewa lakin hatufikii hitimisho simuoni mume,au nikimuota mpenzi wangu nafunga nae lakin naishia kuvaa shela kanisani sifiki baadae nashtuka
Au ni kawaida tu wakuu
mpk nimeogopaJini mahaba limekuoa ata Mimi pia nilikua naota naolewa au nazaa au nanyonyesha mtoto.......kutokana na imani yangu nikatafuta kanisa la kiroho nikaombewa sa ivi hiyo hali imeisha kabisa
wewe umezalishwa na majini hao watoto unazaa kweli lakini ni majini una mume jini