Huyo bwana alikuwa mzinzi tu, mtu wa ndoa, unayethamini ndoa, uchafu wa mke hauwezi kuvunja ndoa katu. Mzinzi tu! Nitafanya mwenyewe!Wazima jamani,
Leo Friday the 13th si siku nzuri kwa jamii nyingine.
Story ni ya shost, huyu alikuwa na maakili shule, wote tuliinua mikono. Hesabu alikuwa anamwachia mwalimu labda 10 aur tano, wakati wengine tumetoka na pass tu mshenzi huyu alikuwa anakung'uta 90-95%. Basi shost alisoma PCM na baada ya hapo alikwenda kwenye zile fani zenye wanawake wachache.
Shost huyu hajipendi, tulifikiri akipata kazi atabadilika, siku nimekutana nae Dar ananiambia ameolewa na watoto watatu khe tulifurahiana, kwani ni muda mrefu yeye si alipata scholar ship zile za serikali, alikwenda nchi flani hivi na amerudi yuko wizara flani.
Story ilikuwa shost katika mikutano huko alikutana na mkaka wale design ya dream za wengi, kijana handsome msomi, basi kijana alikuwa anatafuta mwanamke mwenye shule ya uhakika, kumuoana bidada si aliamini atambadilisha tu.
Yule dada anaweza kuvaa nguo kazini siku tatu hajabadili. Mume alianza kwa kumfanyia shopping, anaongea na wale wadada wanaofanya biashara ya nguo anahakikisha wife ana nguo up to date, hola zinabaki zimetundikwa kabatini.
Mume alikoma kutafuta msomi, msomi huyu alikuwa msomi na kitabu. Akitoka kazini ni kitabu, usiku anaamka ni kuandika ripoti za kazini. Vimekwenda, mume alimpata mtoto ndiyo kwanza amemaliza form six, akaanza kuchepuka. Lakini anampenda mkewe, amemshauri basi badilika hola.
Mwisho mume alimwambia wazi, tuendelee kulea watoto mimi na wewe basi. Haya mambo ya kudhani unaweza kumbadilisha mtu mzima ni kujidanganya.
Sky Eclat.
Mkuu alikuwa ni wale vijana watanashati bishoo flani, sasa hata ile kwenda kumchukua wife for lunch unajifirikia leo atakuwa amevaa nini?Huyo bwana alikuwa mzinzi tu, mtu wa ndoa, unayethamini ndoa, uchafu wa mke hauwezi kuvunja ndoa katu. Mzinzi tu! Nitafanya mwenyewe!
Unamchukulia mdada wa kazi anafua nguo etc na mnataka kutoka unamuomba avae nguo fulani.Mkuu alikuwa ni wale vijana watanashati bishoo flani, sasa hata ile kwenda kumchukua wife for lunch unajifirikia leo atakuwa amevaa nini?
Sky akitaka kurudia gauni ukamwambia hapana usilivae linanuka na utanuka, vaa hili, atakataaMkuu mke anarudia gauni siku tatu na joto la Dar.
Yeah lazima, maana unakuta hizo swagga bae hazielewi. Ndo yale mtu hataki muongozaneYeye kwake ni sawa tu lakini tatizo hubby brother men anaona noma kwa wenzake.
Haha mkitaka kutoka excuse kibaoooKama ulikuwepo, anakwambia tangulia ninakuja, au kuleni tu nikija nitalipa.
Wengi wanaosoma science wadada asilimia kubwa sura zao loh hafu hawajipendi sasa.Ni Hatari utakuta ana Sura Nzito.
Kuna wanawake huwa hawajipendi in nature tu. Ningekuwa mi mwanaume ctoki na mwanamke aina hyo.Unamchukulia mdada wa kazi anafua nguo etc na mnataka kutoka unamuomba avae nguo fulani.
Ndo ubaya wakufata status bila Ku consider other factors. Huyo mwanamke ni jipu nguo anavaa siku Tatu kwa kweli cjawahi ona mwanamke disaini yakeKaka aliingia kichwa kichwa kwa status ya dada, alijua mengine atambadilisha.