Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo walio wengi hawawezi kuchakata fikra chanya na hasiBaada ya mbunge Taiduna kuwaita Watanganyika " kenge" wa ndani.
Wacha tujadili tabia za kenge, usikute kweli sisi Watanganyika ni kenge
1. Kenge ni kiumbe kinapenda kujifananisha na mamba.
Hapa mamba na wale wakubwa au machawa bila shaka hili linawakera
2 Kwenye ana kiherehere
Licha ya kuishi kwenye maji ila hutoka kuwinda nchi kavu.
Hili linawakera mamba na kuwaza kuwashugulikia mamba
3 kenge anakula takataka
Chakula cha kenge ni nzi na viumbe wengine wachafu
4 kenge hana madhara Kwa binadamu
Huu ndo ujinga wake akimwona binadamu hukimbia
5 kenge hupenda kuota jua
Hii ni tabia ya uvuvi wa mawazo na kiutendaji.
Kenge hawazi vikubwa yeye huota jua na kula nzi na Panzi tu wala hatamani samaki licha ya kuishi nao mtoni
6. Kenge ni kiumbe mjinga
Anaweza akala hata mayai yake mwenyewe
7. kenge hajitambui
Licha ya kuishi na vitoweo mtoni, kuwa kwenye maji machafu ila yeye vyote havioni
Hakika Watanganyika ni kenge rasilimali zote hizi ila shule hazina madawati, hospital hazina madawa, vijana hawana ajira n k
8 Kwenye yeye hutawaliwa
Watanganyika ni kenge tumekubali kutawaliwa na mamba kutoka CCM miaka yote hii
Naungana na mbunge kutoka Zanzibar kuwa Watanganyika ni kenge na ni kenge kweli
Watanganyika Sasa tujitahidi tutoke kwenye kuwa kenge tuwe mamba
Kwamba anakimbia manyunyu anaenda kwenye MafurikoTabia nyingine ya kenge anapenda kuishi nchi kavu na majini lakini anaogopa mvua.
Akiwa nchi kavu yakianza manyunyu tu anatoka mbio mwendo wa ngiri na kuingia kwenye maji... Katika hili hata wataalamu hawaelewi sababu ππ
Ndio, yani akidondokewa na manyunyu anakimbilia kwenye maji kujifichaKwamba anakimbia manyunyu anaenda kwenye Mafuriko
Tafsiri: anakimbia hatari ndogo anaenda kwenye hatari kubwa
Gari la mafuta likianguka tupo tayari tukachote tuungue tufe lakini hatupo tayari kudai haki zetu kwa kuogopa virunguπ€£π€£Manyunyu: kuogopa kuandama kudai haki na katiba
Mtoni: Lindi la umasikini
Kumbe kenge hajielewi yaani sisi watanganyika hatujielewi ndiyo maana tunatekwa na kupotezwa wameenda mbali zaidi watekaji wanabaka na kulawitiTabia nyingine ya kenge anapenda kuishi nchi kavu na majini lakini anaogopa mvua.
Akiwa nchi kavu yakianza manyunyu tu anatoka mbio mwendo wa kasongo na kuingia kwenye maji... Katika hili hata wataalamu hawaelewi sababu ππ
aliyetuita kenge asirudi bungeni tena, hatuhitaji wabunge dizaini ile wasio na busara na hekimaKenge ni Watanganyika sasa
hahah hivi kweli umeliona umbo lake?Huyo aliyeita watu kenge, kwanza kichwani hazimo. Hakujitazama kwenye kioo kabla ya kuongea. Hizo pesa za Ubunge zinamtia ukichaa na kujiona mtu, kati ya watu. Mpaka anakufuru. Mimi nimeshampa yeye ni kiboko na mtani wangu Kalpana yeye kampa ni nyangumi. Aje ajisome hapa.