Hizi ndo sifa za kuwa mlinzi wa Rais

Hizi ndo sifa za kuwa mlinzi wa Rais

Hizi sifa nimezitoa nchi moja hivi siitaji jina.
  1. Lazima uwe mzalendo wa kweli wa nchi yako
  2. Usiwe mwanachama wa chama chochote cha siasa
  3. Uwe na IQ kubwa
  4. Uwe na mafunzo ya kijeshi
  5. Upitie mafunzo ya kijasusi na kulinda viongozi wakubwa
  6. Ujue kutumia silaha zote kwa usahihi
  7. Uwe na Black belt ya aidha Kungfu au Judo (Combat Karate lazima ujue)
  8. Usiwe mpenda starehe
  9. Usiwe na tamaa yoyote ile
  10. Uwe tayari kufanya kazi hata bila mshahara .
-Wenyewe wanajua namna ya kuwapata watu wa aina hiyo kupitia vetting na usaili mgumu hasa kabla ya kuwaandaa Kwa hiyo kazi


Sent using Jamii Forums mobile app

Umesahau hii: Lazima awe raia wa ile nchi paleee karibu na mkoa uleee--
 
Eti IQ kubwa! What a garbage!!! [nimehisi kutapika]

Vile wanavyotumbua macho na kuvaa mawani meusi ya buku buku ndio IQ kubwa!!??

NO WAY, sio kwa Tanganyika hii!!
Kutumbua macho kunaondoa vp IQ kubwa?

Miwani ya buku buku unauhakika kweli ni ya buku?
 
Eti IQ kubwa! What a garbage!!! [nimehisi kutapika]

Vile wanavyotumbua macho na kuvaa mawani meusi ya buku buku ndio IQ kubwa!!??

NO WAY, sio kwa Tanganyika hii!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we miwani yako hiyo shngapi Zilla
 
Hiyo no 7 nahisi nchi kama uchina maana Russia ana systema kalashinikova, mjapan ana Karate, Israel ana Krav maga, Thailand ana Muay Boran, Korea wana tae kwon do, Brazil wana Brazilian jiu jitsu, mfaransa ana french savate, Philippines wana silat, india wana kallilipayatu na mmarekani ana krav maga na hand to hand combat na kimsingi hizi martial art utazikuta zikichezwa kijeshi zaidi yani zikiongezwa baadhi ya mambo kupata kitu kilicho bora zaidii kukitoa katika uhalisia wa sport maana kumbuka these men are learning killing skills not sport hivyo kung fu utaikuta ila kwa baadhi ya mapigo fulani katika combinations za mchezo husika...

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa skills zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezea na hii: Awe mwenye kutumia zaidi masikio kuliko mdomo
 
Back
Top Bottom