Namba 2 Sina iman nayo, Huyu wa sasa hivi tulianza kumuona Na Uncle wapo wote kwenye vikao vya Chama na Hata baadae kwenye campaign za kuwania kiti cha ikulu, mbaya Zaid alikuwa anapiga uniform za Chama kama Yule baloz wa China kwenye mikutano ya Bw. Abraham kabla hajaacha ukatibu wa Chama tukufu,
Tena kikubwa Zaid ndugu yake Enzi zile alikuwa spika, japo na yeye baba yake ndo alikuwa mwenyekiti wa TANU youth league mkoa Wa Arusha, miaka ile mwl Bado yupo madarakan.
Ila baadae akakataliwa mbali km yaliyomtokea mzee Mosses Nnauye,
Sema yy alipata promo akaenda kuwa baloz Huko ughaibun, ila familia ilibaki huku nyumban,
Kwa Hiyo kuwapata walinzi hao lzm kuwe list ndefu huezi kuwa hivi hivi ukasema Hiyo ni vetting
Sent using
Jamii Forums mobile app