Hizi ndo picha za jamaa aliyepofuliwa macho kwa kutembea na mke wa Polisi

Mkuu kama huyu jamaa ni mzembe mbona wewe sasa hivi hulali kwako unaogopa nini?:smile-big:

mimi mpaka mtu anifanyie hivyo,

labda anivizie sana, niwe nimelewa sana.
otherwise kama ni macho hata yeye atayakosa..
Then silali kwangu sio kwa kuogopa kutolewa macho
ila naogopa sana kuharibu ndoa ya mtu....
 
safi sana hyo ndo adhabu stahiki aliyoipata,kama kuonywa alionywa bt jeuri ya et kapendwa sana na mke wa mtu si usen** huo.harafu je alivokuwa akinyatia mke wa mtu alikuwa akivaa hiyo barakhshia au baada ya janga ndo kamrejea mungu wake?
 
anastahili kifungo cha maisha huyo polisi, ukiona mke wako kalala na mtu sijui kwa nini unamfata msela, wa kumfata ni mke wako na kuamua unafanyaje kama ni hela inarudishwa afu asepe, sasa jamaa yeye kosa lake nini? inabidi ujichunguze mara mbili umekosa nini hadi mke wako aende nje, afu kwa nini hujui kuchagua hadi ukamchagua ambaye atakuja kukusaliti baadaye...

Alikuwa provoked, fundisho kwenu
 
Alikuwa provoked, fundisho kwenu
Hakuna fundisho kwa mtu hapo, hajaiutana na watata, unaliwa mke na wewe unatandikwa vilevioe na upolisi wako, jamaa mpole tu huyo... Kumtoboa mtu macho ni kosa la jinai, maswala gani kuharibiana maisha..
 
PO1.PNG



PO2.PNG


po3.PNG
Aiseee!! Mke wa wamwezio usicheze naye sumu kabisaaa..
 
Back
Top Bottom