Y yamindinda JF-Expert Member Jul 29, 2011 1,581 1,318 Jan 23, 2018 Thread starter #4 Mulhat Mpunga said: KWANGU HAZIJAFUNGUKA Click to expand... jaribu kuipitia moja badala ya nyingine taratibu
Mulhat Mpunga said: KWANGU HAZIJAFUNGUKA Click to expand... jaribu kuipitia moja badala ya nyingine taratibu
Ng'wale JF-Expert Member Nov 24, 2011 4,688 3,395 Jan 23, 2018 #5 yamindinda said: jaribu kuipitia moja badala ya nyingine taratibu Click to expand... Mkuu, hiki kiswahili vipi. Jua matumizi ya haya maneno. "Badala" na "baada". Ilitakiwa iwe " jaribu kuipitia moja baada ya nyingine" siyo hivyo ulivyoandika. Na usije ukasema ni "typing error" siku hizi kiswahili huko mashuleni ni shida.
yamindinda said: jaribu kuipitia moja badala ya nyingine taratibu Click to expand... Mkuu, hiki kiswahili vipi. Jua matumizi ya haya maneno. "Badala" na "baada". Ilitakiwa iwe " jaribu kuipitia moja baada ya nyingine" siyo hivyo ulivyoandika. Na usije ukasema ni "typing error" siku hizi kiswahili huko mashuleni ni shida.
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,288 Jan 23, 2018 #6 yamindinda said: jaribu kuipitia moja badala ya nyingine taratibu Click to expand... BAADA NA BADALA NI VITU VIWILI TOFAUTI MKUU ..KISHA KWANGU HAIJAFUNGUKA
yamindinda said: jaribu kuipitia moja badala ya nyingine taratibu Click to expand... BAADA NA BADALA NI VITU VIWILI TOFAUTI MKUU ..KISHA KWANGU HAIJAFUNGUKA