Hizi ndizo siasa za kushikiwa akili

Hizi ndizo siasa za kushikiwa akili

Akili yako ni level ya mende, ngoja niondoke kwenye hili group lenu nikuachie wewe na wenzio
Nilijua lazima ukimbie
Huwezi kujadili hoja Kwa vipande vya clips huo ni ujinga.
Kama unaniaya ya dhati kuumbua uongo wa wanaChadema weka full video sio vijiclips.
 
Kwahiyo umefurahi kuwa nimekimbia!?, Hii ni nyumba yako!?,What k level do you comand this platform!?
 
View attachment 1612252
Endeà kujidanganya na viclips,
Halafu pia huo si ushahidi maana hii clips haionishi tamati ya mazungumzo

Tatizo ni katiba yetu kuruhusu huo ubedhuli kwa kivuli cha kuongeza watalii
Nadhani unakumbua Makonda na Vita vya mashoga sinema ilivyo chezwa na serikali yako ya ccm

Unakumbuka ripoti ya waziri kangi Lugola akiwa bungeni kuhusu serikali na msimamo wake kuhusu ushoga?

Kama unaikumbuka weka hapa tumalize mjadala.
 
Tatizo ni katiba yetu kuruhusu huo ubedhuli kwa kivuli cha kuongeza watalii
Nadhani unakumbua Makonda na Vita vya mashoga sinema ilivyo chezwa na serikali yako ya ccm
Tatizo ni upumbavu wako na hao unao wa fan
 
Tatizo ni serikali yako ya ccm inakumbatia ushoga
Makonda alianza vizuri zile harakati zake ziliishia wapi?
Je Ile ripoti ya kangi Lugola ilikuwa ni ripoti feki?
Je Kama ni feki serikali yako ya ccm inampango gani na katiba ya Tanzania inayo ruhusu ushoga?
 
Taahira wewe hujui kuwa hata mimi si fan wabchama chochote, takataka wewe huoni kuwa hupaswi kunijibu. Wewe ni kizazi gani?, Kafie mbele hukooooo
 
Tuliza mshono Kama kichwa kimepata Moto pooza injini kwa maji baridi

Basi sikunyingine usiniquotes quote na viclips vyako vya kipumbavu pumbavu

Linchi lako linakumbatia ubedhuli halafu unapanuapanua libakuli lako hapa
 
Back
Top Bottom