Hizi ndio Tabia za Mwanamke anaekupenda

Hizi ndio Tabia za Mwanamke anaekupenda

Duh!sisi wengine tuna nyota za mihogo kupendwa na wanafunzi
"Punda hajasoma lakini hakosi kazi"
 
Huu ndio uhalisia,Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana...
 
Sasa ukibana kutoa papuchi, mwanaume ataona kama vile humpendi, unampotezea muda, perhaps unataka kum-exploit / kum-manipulate...so anaona bora asepe fasta. amu
umetoa punyero ndo kasepa mazima inakuaje hapo?
 
Hahahahaa,. Afu kwelii kwann namm nisipike eti?!maana kulima nako naona kabisa najitafutia shiranga tuu mwisho nikose hata wakunipa salamu[emoji23][emoji23][emoji23]

hhaahhaha !mimi napika na kuifatilitilia garden yangu ova nane nane naenda kwenye maonesho ya maua!lol
 
Back
Top Bottom