mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,403
- 23,201
Mimi nitakupa salam usijaliHahahahaa,. Afu kwelii kwann namm nisipike eti?!maana kulima nako naona kabisa najitafutia shiranga tuu mwisho nikose hata wakunipa salamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nitakupa salam usijaliHahahahaa,. Afu kwelii kwann namm nisipike eti?!maana kulima nako naona kabisa najitafutia shiranga tuu mwisho nikose hata wakunipa salamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Poa aisee za kupotea?aje!
Mmh...kweli??.hata nikiota sugu za visigino??!Mimi nitakupa salam usijali
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.
Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.
Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.
Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.
Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.
Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
KAMA UMEIPENDA HII
salama kabisa sheikh wanguPoa aisee za kupotea?
hahaha yatakufata hukohukoMapenzi buana[emoji16][emoji16]ngoja wengine tulimage tuu...[emoji23]
Aiseee,..lakini ngoja tuu nilime,nipande,nipalilie nivune then nibadili mfumo...hahahahaa ni sheeeda,.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo si zinatakata mbona nakuficha mwezi mmoja tu ukitoka hapo unawakawakaMmh...kweli??.hata nikiota sugu za visigino??!
[emoji120] [emoji120] karibu sanasalama kabisa sheikh wangu
Ukimaliza hapo unauchapa usingizi wako kiimya,..hauchi unakucha,.aahh!!!then jioni ukishamaliza kuvuna unajiachia na pilsner baridiiiiii ya kusukumizia usingizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinisisimue jamanii shemeji[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo si zinatakata mbona nakuficha mwezi mmoja tu ukitoka hapo unawakawaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii shemeji umeitoa wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinisisimue jamanii shemeji
thatha je!we unagain maweight tu !lolUkimaliza hapo unauchapa usingizi wako kiimya,..hauchi unakucha,.aahh!!!
Ama nenee[emoji23][emoji23][emoji23]thatha je!we unagain maweight tu !lol
watapata tabu sana kwann unanenepa!Ama nenee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa. Ila kila nyama ina utamu wakeSio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.
Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.
Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.
Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.
Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.
Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
KAMA UMEIPENDA HII
Ohoooo jembe jamanii lishanivuruga mm[emoji56][emoji56][emoji23] [emoji23] [emoji23] hii shemeji umeitoa wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakulima huwezi kuwaona huku JFOhoooo jembe jamanii lishanivuruga mm[emoji56][emoji56]