Hizi Ndio Siasa za Bongo-Hata Mtoto Ruksa Tu

Kwani kuna tatizo kwa mtoto kuweka kwenye Sanduku karatasi ya Kura iliyopigwa na baba yake???

Ama unataka tu kuwaaminisha watu kwamba huyo mtoto alipiga kura?....

Acha upotoshaji mkuu....

Kwani ya jirani yako c yameona? Vaa miwani.
 
Kidumu chama cha Mapinduzi. wanatafuta kichaka cha kujificha. Kalenga Mlipata asilimia 12.5 mkitumia Chopa, Msoga mmepata 10.5 kwa hiyo matumizi ya Chopa huleta Difference ya 2% ya Kura. Wazee wa Pwani mngewapelekea Mini kabang wa Arusha mjini mngeweza walau kufikisha 15%.
 
Utajisikiaje 2015 vituo vya kupigia kura vikajaa watoto wanaopigia kura wazazi wao?
 
Kwani kuna tatizo kwa mtoto kuweka kwenye Sanduku karatasi ya Kura iliyopigwa na baba yake???

Ama unataka tu kuwaaminisha watu kwamba huyo mtoto alipiga kura?....

Acha upotoshaji mkuu....

Haya ni Maandalizi ya urais 2050 naamini bado watakuwa na copyright ya kutawala watanganyika
 
unahitaji kuvaa jicho la tatu.....................
 
8.jpg
 
Mwaka 2015 tutawatuma watoto wetu wakatupigie kura!Yaani sheria ipo wazi chini ya miaka 18 huruhusiwi kupiga kura ccm wanaivunja kama hivi
 
Wabongo tukishindwa daima huwa hatukubari kushindwa, bali tunatafuta sababu.
 
Mwaka 2015 tutawatuma watoto wetu wakatupigie kura!Yaani sheria ipo wazi chini ya miaka 18 huruhusiwi kupiga kura ccm wanaivunja kama hivi

hapo tunahitaji wanaharakati wa haki za watoto
 
Mm ngoja nimsubiri mtoto wa mweshimiwa afike 18 yrs ni owe nyie pigeni domo tuuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ndg zangu kisheria hapo Ridhiwani hakupiga kura aliyepiga kura ni huyo mtoto. kama unajua maana ya ku-cast vote in the Ballot box basi hapa ndio unaona Ridhiwani pamoja na kusoma sheria bado analeta mambo ya kitoto kwenye issue ambazo hazihitaji mzaha........kwa picha hiyo ni dhahiri uchaguzi wa jimbo la Chalinze ni batiri wala haihitaji nguvu nyingi, labda aseme hiyo picha ni photo shop imetengenezwa. tunasubiri aapishwe kesi tayari ataiona Mahakamani
 
Back
Top Bottom