Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,369
- 100,418
Na mimi siku ya kupiga kura kwa yule mbunge wangu ambae najua atakufa hivi karibuni nitaenda na Wanangu, mbwa na Nguruwe.....si kupiga?
Tumefunikwa na koti la kiimla
Wivu mwingine wa kibinti kweli sasa hapo shida ipo wapi au sheria gani imekiukwa umekosa la kusema unaongea hovyo sasa.View attachment 149614
siamini macho yangu
Hata ukienda na kuku shauri yako lakini moto utauona uko pale pele mtashindwa tena.Na mimi siku ya kupiga kura kwa yule mbunge wangu ambae najua atakufa hivi karibuni nitaenda na Wanangu, mbwa na Nguruwe.....si kupiga?
Unajua zoezi la kupiga kura ni mchakato wote, kuanzia kuhakikisha jina la mpiga kura, kuchukua karatasi ya kupiga kura, kuchagua mgombea unayemtaka, kuweka karatasi ya kura kwenye sanduku stahiki. Sasa kwenye sifa za mpiga kura ambazo ziko wazi, miaka 18, sijui huyo mtoto kaingia kwa kigezo kipi?Au ndio kufikisha ujumbe wa mahusiano mapya kati ya serikali na ukoo wao?hiyo picha haitaki simple mind
Na mimi siku ya kupiga kura kwa yule mbunge wangu ambae najua atakufa hivi karibuni nitaenda na Wanangu, mbwa na Nguruwe.....si kupiga?
Na mimi siku ya kupiga kura kwa yule mbunge wangu ambae najua atakufa hivi karibuni nitaenda na Wanangu, mbwa na Nguruwe.....si kupiga?
kwa kweli bado najiuliza maswali mengi sana na ii picha na nasikitika GT wakija na hoja nyepesi, asante SamaritanUnajua zoezi la kupiga kura ni mchakato wote, kuanzia kuhakikisha jina la mpiga kura, kuchukua karatasi ya kupiga kura, kuchagua mgombea unayemtaka, kuweka karatasi ya kura kwenye sanduku stahiki. Sasa kwenye sifa za mpiga kura ambazo ziko wazi, miaka 18, sijui huyo mtoto kaingia kwa kigezo kipi?Au ndio kufikisha ujumbe wa mahusiano mapya kati ya serikali na ukoo wao?
Mtu mwingine angefanya hicho kitendo huenda sasa hivi angekua nje kwa dhamana. Huenda vilevile ikaonyesha dalili ya matumizi mabaya ya madaraka, ni mtazamo wangu tu!
kwa kweli bado najiuliza maswali mengi sana na ii picha na nasikitika GT wakija na hoja nyepesi, asante Samaritan
Bwanangu ndio nani tena? Mimi nina Bwana? Ngoja nikustiri kwa leo usijeniharbia siku, ila najua ntakukamata wapi. AsanteUmemsahau bwana wako