AiseeUchumi wetu unazidi kupaa,
Pongezi kwa awamu ya sita (6).
Sijui lakini hizo Howo huwa zinapaki sana kwaajili ya serviceYaah naelewa Scania ni imara ila mi naongelea kibiashara... Mfano kama una kampuni ya usafirishaji kuliko uwe na Scania Moja la bei ghali ni bora uwe na howo 2 ndo nnachomaanisha hicho
Hapana sio kweli mkuu hata hizo G460 zina side mirrors na ndio za sasa hivi...Nilisikia hazina side mirrors, zinatumia cameras.
Huu mjadala ulikuwa mzuri sana bila ya watu kama weweAcha unazi wa kibwege mpumbafu wewe, ile mibajaji na migari ile kwa mtu mwenye akili timamu ni ya kununua!? Gari ikipita unatafuta kivuli kwanza upumzike, maana inatibua ratiba zote za ubongo. Ushaziona gari wanazosambazia Watercom huku mtaani!? Huyo boss wenu anapenda sana vya dezo.
Sijui kwanini bongo hatuwezi shangilia mafanikio ya mmoja bila kumponda mwengine ....kwenye swala LA commodity market No amejiwekeza sana ukiacha mauzo ya bidhaa za kila Siku....fuatilia tajiri anayeongoza safirisha Korosho Afrika mashariki na ...hadi sasa mo ndo anaongoza ajiri watu wengi Afrika mashariki na kati...so wakati azam wananunua benzi no anaagiza kiwandani kwa order ya Bei nafuu na zote zinakuja Fanya Kazi moja..hushangai hata dangote kachukua mchinaHalafu eti bloangu Mwamedi na zile Bajaji zake zilizofungwa Injini za Machine za kusaga ndio Bilionea wetu namba moja..!!!
Ok Scania ni kama Toyota yaani wana series zao kwa hiyo yote yapo bei moja pamoja na tela au ipoje ulivyosikia kwa hiyo bei ya 300m...Mimi si mzoefu wa magari. Ila semi huwa nawasikia zinaenda mpaka 300M kwa kila kitu mpaka mkononi
Kwa hiyo dangote akichukua mchina kwa hiyo na wewe uchukue mchina MkuuSijui kwanini bongo hatuwezi shangilia mafanikio ya mmoja bila kumponda mwengine ....kwenye swala LA commodity market No amejiwekeza sana ukiacha mauzo ya bidhaa za kila Siku....fuatilia tajiri anayeongoza safirisha Korosho Afrika mashariki na ...hadi sasa mo ndo anaongoza ajiri watu wengi Afrika mashariki na kati...so wakati azam wananunua benzi no anaagiza kiwandani kwa order ya Bei nafuu na zote zinakuja Fanya Kazi moja..hushangai hata dangote kachukua mchina
Mkuu hebu relax basi, hv kweli unaweza kulinganisha gari aina ya Mchina na Scania ama Benz kweli hata kama zinafanya kazi moja?Sijui kwanini bongo hatuwezi shangilia mafanikio ya mmoja bila kumponda mwengine ....kwenye swala LA commodity market No amejiwekeza sana ukiacha mauzo ya bidhaa za kila Siku....fuatilia tajiri anayeongoza safirisha Korosho Afrika mashariki na ...hadi sasa mo ndo anaongoza ajiri watu wengi Afrika mashariki na kati...so wakati azam wananunua benzi no anaagiza kiwandani kwa order ya Bei nafuu na zote zinakuja Fanya Kazi moja..hushangai hata dangote kachukua mchina
Mkuu kila mwekezaji anakua na lengo lake kikubwa no return on investment....unaweza kuta bakhresa ananunua benzi 20 let's say for 5 usd million akijua litakaa sana ingawa hapo gharama za Dereva lazima ziongezeke....mo au dangote for same amount wanachukua Mchina hata 50 wakijua faida itarudi mda mfupi na kuwekeza tena..so kikubwa no maamuziKwa hiyo dangote akichukua mchina kwa hiyo na wewe uchukue mchina Mkuu
We kwa hapo bishana na fact wakati wenzio wanatengeneza Pesa.... Africa’s youngest billionaire Mo Dewji seeks to triple number of workersMkuu hebu relax basi, hv kweli unaweza kulinganisha gari aina ya Mchina na Scania ama Benz kweli hata kama zinafanya kazi moja?
By then kweli yeye ndio ameajiri watu wengi, unaweza kuniambia hao wanaonekana wengi amewaajiri wapi?
Hicho ulichokiweka hapo hakifunguki hivyo sijajuwa ulilenga nn hasa!We kwa hapo bishana na fact wakati wenzio wanatengeneza Pesa....https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/africa-s-youngest-billionaire-mo-dewji-seeks-to-triple-number-of-workers-3267216
Huu Mjadala huwa ni Mzito sana, ila kiukweli bloangu Mwamedi ni Msanii tu wa kucheza na Media ila hagusi kwa Mzee!
Ongeza na Billionea Na.1Mohammed = Mwamedi au Muddy = Maskini
Mohammed = Mo = Tajiri
Ni hvi kijana Mohammed enterprises ndo kampuni inayoongoza kuajili watu wengi baada ya serikali hadi sasa ajira 35,000 ...ukisikia kilimo,usafiri,vyombo vya Umeme,usafirishaji wa Korosho,choroko ameishika...bakhresa alioajiri hawazidi 10,000 kwakua hajadiversify sana....Hicho ulichokiweka hapo hakifunguki hivyo sijajuwa ulilenga nn hasa!
Isotoshe ukihitaji Mjadala wenye afya epuka lugha za Mipasho.
Bado nasubiri uniambie hiyo idadi kubwa ya ajira ameitoa katika upande UPI?
Sawa Bwana Mkubwa hebu niambie kati ya hao 35,000, aliowaajiri kwenye Kilimo pekee kwa mikataba ni wangapi na vibarua ni wangapi?Ni hvi kijana Mohammed enterprises ndo kampuni inayoongoza kuajili watu wengi baada ya serikali hadi sasa ajira 35,000 ...ukisikia kilimo,usafiri,vyombo vya Umeme,usafirishaji wa Korosho,choroko ameishika...bakhresa alioajiri hawazidi 10,000 kwakua hajadiversify sana....
Watanzania tuna desturi za ajabu sana kazi ni kulalamika na lawama kwa watu wenye utajiri so unayesema mo hana utajiri wewe una data na takwimu zote za biashara yake au ni stress za maisha na ajira unaleta humu, embu jaribu kuangalia sekta zote katika uchumi wetu the guy ame cover almost every sector either ni kilimo, nishati, usafirishaji, michezo, mpaka insurance sector alafu anakuja mwananchi mmoja wa kawaida member wa jf anasema mo anajipa publicity!!! tubadilike jaman kumchukia mtu aikusaidii just appreciate and move on!!!!!!!!Mo yeye gari zake anatumia kubeba mizigo yake na mizigo ya watu binafsi. Kwenye biashara ya mazao kama korosho,mbaazi,dengue,ufuta anakuwa mnunuzi,mkusanyaji na msafirishaji kupeleka nje ya nchi.
Sukari ya viwandani huwa anachukua tenda ya kuagiza.
HakikaYa kupiga selfie.