Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

Acha unazi wa kibwege mpumbafu wewe, ile mibajaji na migari ile kwa mtu mwenye akili timamu ni ya kununua!? Gari ikipita unatafuta kivuli kwanza upumzike, maana inatibua ratiba zote za ubongo. Ushaziona gari wanazosambazia Watercom huku mtaani!? Huyo boss wenu anapenda sana vya dezo.
Huu mjadala ulikuwa mzuri sana bila ya watu kama wewe
 
Halafu eti bloangu Mwamedi na zile Bajaji zake zilizofungwa Injini za Machine za kusaga ndio Bilionea wetu namba moja..!!!
Sijui kwanini bongo hatuwezi shangilia mafanikio ya mmoja bila kumponda mwengine ....kwenye swala LA commodity market No amejiwekeza sana ukiacha mauzo ya bidhaa za kila Siku....fuatilia tajiri anayeongoza safirisha Korosho Afrika mashariki na ...hadi sasa mo ndo anaongoza ajiri watu wengi Afrika mashariki na kati...so wakati azam wananunua benzi no anaagiza kiwandani kwa order ya Bei nafuu na zote zinakuja Fanya Kazi moja..hushangai hata dangote kachukua mchina
 
Mimi si mzoefu wa magari. Ila semi huwa nawasikia zinaenda mpaka 300M kwa kila kitu mpaka mkononi
Ok Scania ni kama Toyota yaani wana series zao kwa hiyo yote yapo bei moja pamoja na tela au ipoje ulivyosikia kwa hiyo bei ya 300m...
 
Sijui kwanini bongo hatuwezi shangilia mafanikio ya mmoja bila kumponda mwengine ....kwenye swala LA commodity market No amejiwekeza sana ukiacha mauzo ya bidhaa za kila Siku....fuatilia tajiri anayeongoza safirisha Korosho Afrika mashariki na ...hadi sasa mo ndo anaongoza ajiri watu wengi Afrika mashariki na kati...so wakati azam wananunua benzi no anaagiza kiwandani kwa order ya Bei nafuu na zote zinakuja Fanya Kazi moja..hushangai hata dangote kachukua mchina
Kwa hiyo dangote akichukua mchina kwa hiyo na wewe uchukue mchina Mkuu
 
Mkuu hebu relax basi, hv kweli unaweza kulinganisha gari aina ya Mchina na Scania ama Benz kweli hata kama zinafanya kazi moja?
By then kweli yeye ndio ameajiri watu wengi, unaweza kuniambia hao wanaonekana wengi amewaajiri wapi?
 
Kwa hiyo dangote akichukua mchina kwa hiyo na wewe uchukue mchina Mkuu
Mkuu kila mwekezaji anakua na lengo lake kikubwa no return on investment....unaweza kuta bakhresa ananunua benzi 20 let's say for 5 usd million akijua litakaa sana ingawa hapo gharama za Dereva lazima ziongezeke....mo au dangote for same amount wanachukua Mchina hata 50 wakijua faida itarudi mda mfupi na kuwekeza tena..so kikubwa no maamuzi
 
We kwa hapo bishana na fact wakati wenzio wanatengeneza Pesa....https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/africa-s-youngest-billionaire-mo-dewji-seeks-to-triple-number-of-workers-3267216
Hicho ulichokiweka hapo hakifunguki hivyo sijajuwa ulilenga nn hasa!
Isotoshe ukihitaji Mjadala wenye afya epuka lugha za Mipasho.
Bado nasubiri uniambie hiyo idadi kubwa ya ajira ameitoa katika upande UPI?
 
Je,namimi ninae safirisha mizigo yangu kwa Air cargo kutoka uko vijijini adi town...mnanizungumziaje..?
 
Hicho ulichokiweka hapo hakifunguki hivyo sijajuwa ulilenga nn hasa!
Isotoshe ukihitaji Mjadala wenye afya epuka lugha za Mipasho.
Bado nasubiri uniambie hiyo idadi kubwa ya ajira ameitoa katika upande UPI?
Ni hvi kijana Mohammed enterprises ndo kampuni inayoongoza kuajili watu wengi baada ya serikali hadi sasa ajira 35,000 ...ukisikia kilimo,usafiri,vyombo vya Umeme,usafirishaji wa Korosho,choroko ameishika...bakhresa alioajiri hawazidi 10,000 kwakua hajadiversify sana....
 
Sawa Bwana Mkubwa hebu niambie kati ya hao 35,000, aliowaajiri kwenye Kilimo pekee kwa mikataba ni wangapi na vibarua ni wangapi?
Nipe majibu ili nikupunguzie hiyo mipasho yako mana nilikuwa nakuvuta uje huku!
 
Mo yeye gari zake anatumia kubeba mizigo yake na mizigo ya watu binafsi. Kwenye biashara ya mazao kama korosho,mbaazi,dengue,ufuta anakuwa mnunuzi,mkusanyaji na msafirishaji kupeleka nje ya nchi.

Sukari ya viwandani huwa anachukua tenda ya kuagiza.
 
Watanzania tuna desturi za ajabu sana kazi ni kulalamika na lawama kwa watu wenye utajiri so unayesema mo hana utajiri wewe una data na takwimu zote za biashara yake au ni stress za maisha na ajira unaleta humu, embu jaribu kuangalia sekta zote katika uchumi wetu the guy ame cover almost every sector either ni kilimo, nishati, usafirishaji, michezo, mpaka insurance sector alafu anakuja mwananchi mmoja wa kawaida member wa jf anasema mo anajipa publicity!!! tubadilike jaman kumchukia mtu aikusaidii just appreciate and move on!!!!!!!!;););)
 
Back
Top Bottom