Hizi ndio Picha 15 bora za mwaka 2016

Hizi ndio Picha 15 bora za mwaka 2016

Picha namba 6 inaonesha jinsi walivyo waoga.

Mbwembwe huwa kwenye movie tu.
 
6 ni mara baada ya mapinduzi ya kijeshi kufeli Turkey ,usiku wa mapinduzi RAIA walijikusanya na kutoka nje kuonyesha solidarity kwa rais ..wanajeshi hao waliokamatwa walikuwa wanacharazwa bakora na RAIA

7 boti ya Navy ya USA iliingia kwenye maji/eneo la Iran ,walinzi wa maji wa Iran waliwaweka chini ya ulinzi lakini mara baada ya mawasiliano kati ya Washington na Tehran ,wajeda hao waliachiwa kesho yake

14 ni picha iliyoteka mitandao na vyombo vya habari mwaka jana ,mtoto huyu aliangukiwa na kifusi huko Aleppo baada ya missile kuangukia nyumba ,waokoaji katika hatua za kuokoa walifanikiwa kumuokoa na kumweka kwenye ambulance huku wakirudi kuokoa

Mtoto alionekana amechafuka kwa vumbi ,ameumia na akijifuta machozi mwenyewe ..hakuwepo wa kumfariji wakati ule
Mkuu nashukuru. Natamani ningekuwepo nimkumbatie mtoto huyo. Bila shaka Mungu alimtumia malaika zake wamlinde.
 
Yangu hii hapa:

images
Kwasababu walimuua Bin Laden?
 
Back
Top Bottom