Hizi ndio Picha 15 bora za mwaka 2016

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,476
4,447
1.
f7fac45434b77347cf56a36fd46b0af2.jpg


2.
db88abca0865d91249e748647b94c19b.jpg


3.
91b8dc7d1283fae1d3bfe47eb99c0f6a.jpg


4.
42c2a3de9659d682ce958b17b78fe229.jpg


5.Raul Castro

598b48fb6b218170713e68de67454d5c.jpg


036617d0f4bdf0ce2a6482f188607f5b.jpg


6.
e645e5a69ba40e3a3d1172b059e8dd88.jpg


7.
0cc03885150836708946d4717f6b1738.jpg


8.
523cf65c0a3d6c546be6cc226446a10d.jpg


9.
814ffc423bed299326274b5a6c697e33.jpg


10.
47c31546d5b7755afb61692cefe216f0.jpg


11.
572f5da8777ace295d2b9727755101a8.jpg


12.
37249fa4a1d8afdc25492ec4ff0fdcb5.jpg


13.
9c2a7c4258bec8d7d14ea95c5b0bcaac.jpg



14.
c1577345f81df732ce3fe66b73d9b83c.jpg


15.
34be21bd56e73364a7a2a5dfcfdaaa70.jpg
 
Daaaah ile picha #3 inenikumbusha mbali sana

Wakati huo kila mtu alikua anamkubali Kwa kutumbua
 
Mkuu hizi picha zina onyesha zina maelezo mazuri tu hasa ningependa kujua tu endapo zinamaanisha nini au zinaelezea nn hasa hizo hao askari
 
Numbipost: 19326620 said:
Namba nne imeniumiza,ubaguzi wa rangi ni janga kubwa
**** .*****,,huyo dogo ningekuwa Mimi,,,
Sijui labda ndo maana nipo Africa kwetu
 
Mkuu mleta uzi au yeyote anaefahamu naomba anisaidie maelezo zaidi ya picha namba 6, 7 na 14 tafadhali, naona hapo nilipitwa. Maelezo ya mwanzo najipatia mwenyewe tayari.
 
Mkuu mleta uzi au yeyote anaefahamu naomba anisaidie maelezo zaidi ya picha namba 6, 7 na 14 tafadhali, naona hapo nilipitwa. Maelezo ya mwanzo najipatia mwenyewe tayari.
6 ni mara baada ya mapinduzi ya kijeshi kufeli Turkey ,usiku wa mapinduzi RAIA walijikusanya na kutoka nje kuonyesha solidarity kwa rais ..wanajeshi hao waliokamatwa walikuwa wanacharazwa bakora na RAIA

7 boti ya Navy ya USA iliingia kwenye maji/eneo la Iran ,walinzi wa maji wa Iran waliwaweka chini ya ulinzi lakini mara baada ya mawasiliano kati ya Washington na Tehran ,wajeda hao waliachiwa kesho yake

14 ni picha iliyoteka mitandao na vyombo vya habari mwaka jana ,mtoto huyu aliangukiwa na kifusi huko Aleppo baada ya missile kuangukia nyumba ,waokoaji katika hatua za kuokoa walifanikiwa kumuokoa na kumweka kwenye ambulance huku wakirudi kuokoa

Mtoto alionekana amechafuka kwa vumbi ,ameumia na akijifuta machozi mwenyewe ..hakuwepo wa kumfariji wakati ule
 
Back
Top Bottom