Hizi ndio calculation zangu ninapomtafuta mwanamke

Hizi ndio calculation zangu ninapomtafuta mwanamke

English ni strange language..logically hapo si ilibidi iwe past tense?..

Lakini nime google pia naona watu wengi wanasema I didn't know it ndo sahii.
Fuata ivyo nilivyokuambia ndio correct
 
Kalio litambeba nakubaki palepale.

Kwanini unaingiza jambo la kipuuzi (Degree) katika mambo nyeti kama haya.
[emoji16][emoji16][emoji16]. mattercore Sijui yanawavutia Nini wanaume.
 
Naona HUNA hoja ya wewe....Siku nyingine msiwe na conclude TU..Mara kabila flani Malaya..mala wenye tako hawana Akili, Mara wenye tako degree za Chupi.. kadhaa wa kadhaa...

Kwakua kwenu Dada zako wana mattercore hawana Akili..wamakalia kwenda kwa mpalange...haimaanishi kila mwenye tako anafanya Kama DADA ZAKO.
Msamehe bure tulishajua una chura naunadegree+
 
Hizi ndoto bana ukute anaetamani haya bado anaishi kwa shemeji na kulala seblen😂😂😂
 
1.tako zuri la kuvalia nguo
2.miguu mizur kama yakitoto
3.hips

Hapo sifa zimekamilika
 
Back
Top Bottom