Hizi ndio calculation zangu ninapomtafuta mwanamke

Daaahhh mi napenda mwanamke mzuri mkuu.....ila kyura ni kipao mbele kikubwa Sanaa......
 
Ufanye vimazoezi vya kukata tumbo basi siunajua kitu kikiwa flat kinatia hamasa kwenye 6×6
Saw..babumawe...Ngoja nizidishe situps...alafu mwezi watatu InshaAllah ntakuwa nshatimiza vigezo vyako..ntakuja PM
 
Wewe msomi uliyesoma na ukaelimika ndo unaona sawa kutuandikia lugha mseto??
Au bado una ujinga wa kuamini anayeandika kwa kiingereza ndo msomi aliyeelimika?
Naona HUNA hoja ya wewe....Siku nyingine msiwe na conclude TU..Mara kabila flani Malaya..mala wenye tako hawana Akili, Mara wenye tako degree za Chupi.. kadhaa wa kadhaa...

Kwakua kwenu Dada zako wana mattercore hawana Akili..wamakalia kwenda kwa mpalange...haimaanishi kila mwenye tako anafanya Kama DADA ZAKO.
 
I didn't knew that ( not correct )
I didn't know that ( correct )
English ni strange language..logically hapo si ilibidi iwe past tense?..

Lakini nime google pia naona watu wengi wanasema I didn't know it ndo sahii.
 
Back
Top Bottom