Hizi nazo ya Radio One...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,100
Reaction score
1,955
...kwa mjumbe ambae anajua namba za Muyenjwa Gamba anaeandaa kipindi cha Hizi Nazo kwa hisani yake anipatie. Alternatively, kwa mjumbe anaemfahamu kaka Zomboko amuulizie ili nipate hiyo contact.

Shukrani na wakatabahu!
 
Zomboko huwa anataja namba zake za simu kila kipindi kinapoisha au nenda maeneo ya Kibangu kwenye vijiwe vya kuangalizia mpira umuulizie utampata yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…