Hapo kila mmoja alikuwa na uhitaji wake, pesa, upweke, n those kind of things mahondaw kwa uzoefu wako unafikiri walikuwa na shida gan
Ngoma kwa dume sio rahisi sana kihivyo japo inaweza ilikuwa lengo la mmoja waoNakemea mkuu hilo pepo la ngoma na mimba za kusingiziwa firee[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji2089][emoji2089]
Ilishawahi nitokea hiyo nkachomoka kwa kuendeleza storyIt sometimes happen. .Kipindi kingine hata waubani wako tu dizain kunakua na ka ukimya fulani hadi unajiuliza nimeshazeeka sivutii tena ama???? but kuna muda kuanzia waubani, ma-ex ambao wengine washaoa, ex wasiooa, madanga mengine ya kawaida hata ambao wapowapo tu ila dizain wanakukubali wanakua very bize kukutafuta kiasi kwamba unashindwa nianze kujibu yupi na usipokua makini unaeza changanya mafaili ya meseji
Nb: AT YOUR OWN RISK
Cc Smart911
Umenikumbusha instance flani nimecheka kama falaIt sometimes happen. .Kipindi kingine hata waubani wako tu dizain kunakua na ka ukimya fulani hadi unajiuliza nimeshazeeka sivutii tena ama???? but kuna muda kuanzia waubani, ma-ex ambao wengine washaoa, ex wasiooa, madanga mengine ya kawaida hata ambao wapowapo tu ila dizain wanakukubali wanakua very bize kukutafuta kiasi kwamba unashindwa nianze kujibu yupi na usipokua makini unaeza changanya mafaili ya meseji
Nb: AT YOUR OWN RISK
Cc Smart911
Kwenye baraka kuna laana ndani yake[emoji849][emoji849]
Ndio isome mada yote utanielewa
Nilichogundua wanawake nao ni mafisi kama sisi yani kuna kipindi una test pini zote zinagoma inakubali lile bayaaa unasuuza rungu hivyo hivyo the same to wanawake kuna siku wanamtafuta wanaume wengi kuna siku panakua pakavu ndio unashangaa msela unaletewa mzigo upige kimasihara
Nimeisoma vzr mkuu Mshana ,ila huyo jamaa Sulemani mibaraka yake nahisi ilizidishwa maradufu aisee coz alipendelewa kubadilisha radha za wanawake tofauti kuliko mwanaume yoyote wa kipindi kile hahaaa nimeitafakari kwa jicho la kibaharia (natania)
[emoji276]duhHongera sana, kwa kweli hiko ni kitendo cha kishujaa sana wana mmu wote tunajivunia.
Hongera sana kwa mibaraka kama yote.
Ata mim nahisi ivyo kama sio mimba bxi ata kaukimwiJiandae kulea mimba za wadume wenzio. Ukiona kipepeo katulia umshike ujue moja ya mbawa zake imepata hitilafu sehemu fulani usiyoijua.
Ashindwe in Jesus name