Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 735
- 1,214
Mkuu vipi Joyce anaendeleaje?ahahahaha mkuu upepo wa kisulisuli umekupitia vizuri.
Ahahahaha saizi nimemchunia mkuu.juzi alikuaja geto akagoma kuliwa akabeba na tsht yangu na kuniomba na hela.toka siku ile sijamtumia sms wala kumjibuMkuu vipi Joyce anaendeleaje?
Hahaha basi fresh mkuuahahahaha saizi nimemchunia mkuu.juzi alikuaja geto akagoma kuliwa akabeba na tsht yangu na kuniomba na hela.toka siku ile sijamtumia sms wala kumjibu
Hongera sana, kwa kweli hiko ni kitendo cha kishujaa sana wana mmu wote tunajivunia.
Hongera sana kwa mibaraka kama yote.
Wanasema baraka zikifunguliwa humiminika kwa pamoja ila najiuliza kwa hili tuite nazo ni baraka ama mtego!
Wiki iliyopita nimepokea appointment ya kutembelewa wasichana watatu tofauti ambao walitaka kuja ghetoni kwangu siku moja ambayo ni jumamosi iliyopita.
Mademu hawa wote ni wakali niliwatongoza muda mrefu lakini nikakomea kuzungushwa sana mpaka nikasema moyoni cha kufia nini mpaka nahangaika ivo ilifikia mahali niliwapotezea mazima miezi zaidi ya minne imepita, ila cha ajabu ndo hicho Ijumaa nilitafutwa kwenye simu kila mmoja kwa muda wake na wote walihitaji tuonane.
Niliwaza sana iweje wanitafute siku moja wakati hawajuani nikasubiri kesho yake nione kama ni mchezo walipanga wanichezee, ukweli haikuwa mchezo mambo yalikuwa serious, ndipo nilipoamua kuwapanga pale ghetoni nakufanikiwa kuwatafuna wawili kati ya watatu.
Siku ya Jmosi mmoja alifika saa 5 asubuhi alikaa mpaka saa11 jioni, mwingine alikuja saa saa 1 jioni na akalala na mwingine aliyebaki alishindwa ilibidi nimwambie nina dharura so nilimwambia tufanye Jumapili ila pia nikamalizana naye juzi.
Mabaharia wenzangu hizi nazo ni baraka kweli ama shetani ananitafuta, au ndiyo hali ya upepo wa kisulisuli?
[emoji38][emoji38][emoji38]Hii itakuwa ni siku nzuri sana kwa Baharia.
Kwa lugha ya Kibaharia tunaiita Happy Weekend!
Siku ya kikao, utaanza na Pepsi Big.
Mkuu kuna chembe za ukweli hapaJiandae kulea mimba za wadume wenzio. Ukiona kipepeo katulia umshike ujue moja ya mbawa zake imepata hitilafu sehemu fulani usiyoijua.
Kwenye baraka kuna laana ndani yake[emoji849][emoji849]Kila baraka ina laana ndani yake
Wengi huchukulia mafanikio ya kiuchumi kama baraka kubwa kuliko zote.. Kuna waliobarikiwa elimu lakini uchumi mbovu... Familia nzima imejaa wasomi tena wa kaliba mbalimbali lakini maisha yao hayaeleweki Kuna waliojaaliwa watoto, yani kwao uzazi sio ishu... Wakigusa tu mtoto... Hii ni baraka...www.jamiiforums.com
Nakemea mkuu hilo pepo la ngoma na mimba za kusingiziwa firee[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji2089][emoji2089]Kama ulishau kinga ujue kuna kusingiziwa mimba hapo bila kusahau na ngoma pia