Hizi mvua hizi ni balaa tupu

Hizi mvua hizi ni balaa tupu

Hizi mvua hizi ni balaa tupu.

Kama baharia uko mwenyewe ndani bila jiko linaloeleweka, lazima mwili upungue; baridi inapenya hadi kwenye mifupa.

Mabaharia huu ndio msimu wa kuoa huu, ukizubaa tu lazima ujifunike na ngumi kwa baridi inavyopenya.
Yaani hata huku Mwanza hizi mvua zimeniharibia usiku wa Kuamkia leo aisee!

Hizi zinahitaji masweta na blanket zile chapa ya binadamu.
 
Hizi mvua hizi ni balaa tupu.

Kama baharia uko mwenyewe ndani bila jiko linaloeleweka, lazima mwili upungue; baridi inapenya hadi kwenye mifupa.

Mabaharia huu ndio msimu wa kuoa huu, ukizubaa tu lazima ujifunike na ngumi kwa baridi inavyopenya.
Pole sana mkubwa tafuta dawa za kienyeji unywe kuna shipa linakuchungulia
 
Kwa Mabaharia tu
IMG-20191121-WA0013.jpeg
 
Naamini hata yeye anakupenda pia.
What goes around, comes around

I hope so, ni vile napenda kucheka na nikimsikiliza na kumuangalia mienendo yake ananipa cheko kubwa sana.... Japo anakuwa yuko kazini yet I love him. If he love me back it's wuuh to me, a hug won't harm us..... eehehehhee.

Matata the K.
 
Wakati wa mvua si ndo wa kulima mashamba au mimi nakosea!!
Watu wanao lalamika kuhusu mvua lazima watakuwa mijini huko,maana huku kwetu zikianza kunyesha tunafikiria majembe na mipini kama viko safi twende tukalime,unlike wao wanafikiria blanketi,kuoa n.k...
 
Back
Top Bottom