hizi mila zingine bhana, kaazi kweli kweli!!

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
yani sisi kikwetu ukikuta jamvini watu wanakamua bhana, we unazama zako kimyakimya tu na kuendeleza makamuzi, habari za huko ulikotokea ni mpaka wao wenyeji ndo waanze kwanza kukuuliza!!

unajibu ...
 
Hao sio wasukuma!! Jaribu kwa mchaga/mpare kama hujapata chupa ya kichwa. Loh!
 
yani sisi kikwetu ukikuta jamvini watu wanakamua bhana, we unazama zako kimyakimya tu na kuendeleza makamuzi, habari za huko ulikotokea ni mpaka wao wenyeji ndo waanze kwanza kukuuliza!!

unajibu ...
Ni kweli haya mambo.
 
mzarau kwao mtumwa,dumisha mila na desturi zako kadri uwezavyo. Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…