hizi mila zingine bhana, kaazi kweli kweli!!

under_score

Senior Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
190
Reaction score
45
yani sisi kikwetu ukikuta jamvini watu wanakamua bhana, we unazama zako kimyakimya tu na kuendeleza makamuzi, habari za huko ulikotokea ni mpaka wao wenyeji ndo waanze kwanza kukuuliza!!

unajibu ...
 
ukikuta wameinama na wewe unainama kimyakimya.
 
yani sisi kikwetu ukikuta jamvini watu wanakamua bhana, we unazama zako kimyakimya tu na kuendeleza makamuzi, habari za huko ulikotokea ni mpaka wao wenyeji ndo waanze kwanza kukuuliza!!

unajibu ...

Hao sio wasukuma!! Jaribu kwa mchaga/mpare kama hujapata chupa ya kichwa. Loh!
 
yani sisi kikwetu ukikuta jamvini watu wanakamua bhana, we unazama zako kimyakimya tu na kuendeleza makamuzi, habari za huko ulikotokea ni mpaka wao wenyeji ndo waanze kwanza kukuuliza!!

unajibu ...
Ni kweli haya mambo.
 
mzarau kwao mtumwa,dumisha mila na desturi zako kadri uwezavyo. Nalog off
 
Unataka kuzikana mila zako sasa.
 
Ile ni Ipili bwana kama ni mboka,mie mwenyeji ujue.

... na halafu nna wasiwasi isije ikawa una'mix na 'Ipuli' mkuu, hii Ipuli yenyewe iko barabara ya Nzega, 'Ibiri' iko barabara ya Ulyankulu!!
 
Back
Top Bottom