Hizi likizo za Rais Magufuli ni tofauti na watumishi wengine?

Hata kwa watumishi wa umma wa kawaida nani aliekuambia wote wanachukua likizo mwisho wa mwaka? Si kuna wakati ungekosa huduma siku 28 wafanyakazi wote wa benki, hospital, majeshi yote na taasisi zingine wangekuwa likizo?

Sio kila kitu mnaropoka?
Umekurupuka!
Jipange upya
 
labda kwa baadhi ya taasisi za serikali ila kwa ninayoijua mimi,weekend na holidays haziesabiwi kwenye annual leave ndo maana watu huwa wanagombea mwezi wa 12 maana una holidays nyingi so badala ya siku 28 unapata mpaka 40+
Unapozungumza fact unayotaka ikubalike na kuheshimika,epuka neno labda.
 
Hapo kuna hoja lakini kwa sababu ya ushabiki itapotezwa!
Hakuna hoja yoyote huwezi kufananisha kazi anazofanya Raisi huyu na mtu yeyote, kwanza sijui kama unajua kwamba huwa kazini 24/7 including holidays surtuday and Sunday. So please don't compare our President with any creature.
 
Mida mingine tuwe positive naona hawa Marais wengi wa Kiafrika hawachukui likizo kwa maana halisi bali wanaenda kwao kutembelea ndugu!hata wakiwa hiyo "likizo" bado wanafanya kazi za kijamii au kisiasa;
Tell them
 
labda kwa baadhi ya taasisi za serikali ila kwa ninayoijua mimi,weekend na holidays haziesabiwi kwenye annual leave ndo maana watu huwa wanagombea mwezi wa 12 maana una holidays nyingi so badala ya siku 28 unapata mpaka 40+
Mkuu hao sio Watumishi wa serikali. Serikalini kuna siku 28 tu za likizo inclusive of weekend or holidays ambazo unaweza kuchukua kidogo kidogo kama anavyofanya Mh. Rais. kuna ofisi huwezi kuondoka hata kwa siku 14 tu. Zikizidi 28 maan yake ni malimbikizo ya likizo ambazo mtu anakuwahajachukua huko nyuma.

Mwezi Desemba tutapenda kwenda kw sababu tutapata muda kusherehekea sikukuu bil stress za kazini na wengi hupenda kula sikukuu vijijini kwao
 
Watumishi wengi wa serikali kawaida husain likizo zao mara moja kwa mwaka au mara mbili(i stand to be corrected)

Inafahamika wazi rais ni sehemu ya utumishi wa umma, tangu huu mwaka uaenze amekwenda kwao Chato kwaajili ya mapumziko (likizo) si chini ya mara 4

Je hivi likizo zake ziko tofauti na watumishi wengine katika nchi hii?
Vipi malipo ya likizo zake nani huzigharamia?
Likizo ni wiki nne (28 siku).
Unaweza kwenda likizo by installment (ie 28/4,28/7, etc)
Hakuna kilichoharibika ni jambo la ratiba tu.
 
Watumishi wengi wa serikali kawaida husain likizo zao mara moja kwa mwaka au mara mbili(i stand to be corrected)

Inafahamika wazi rais ni sehemu ya utumishi wa umma, tangu huu mwaka uaenze amekwenda kwao Chato kwaajili ya mapumziko (likizo) si chini ya mara 4

Je hivi likizo zake ziko tofauti na watumishi wengine katika nchi hii?
Vipi malipo ya likizo zake nani huzigharamia?

Wacha bana!!! :confused:
 
Kama anaenda likizo achukue mwezi kueleweke na asubiri hadi mwaka uishe ndio arudi kwao, sasa kila mtumishi akiwa anajichukulia siku 3 then anarudi kazini hali itakuwaje

Sio kila baada ya muda mfupi anarudi chato
Yawezekana ukawa punguani maana unaeleweshwa hauelewi
 
Unataka kujifananisha na mfalme? Mtu ambaye ardhi yoote ya nchi iko chini ya himaya yaje? My dear there is a hughe difference btw the master n the skave, the gorvenir n the governed.
Sio kweli.Mfalme huingia madarakani kwa urithi,Tanzania huingia kwa mujibu wa Katiba na Sheria.Kwetu katiba ndio mfalme,Rais ni zao la katiba.Acheni upotoshaji na ndivyo pengine anavyofikiria.Ndio dhana ya udikteta inapokuja Rais kudhani ni Absolute Monarch while ni constitutional presidency.
 
Hakuna hoja yoyote huwezi kufananisha kazi anazofanya Raisi huyu na mtu yeyote, kwanza sijui kama unajua kwamba huwa kazini 24/7 including holidays surtuday and Sunday. So please don't compare our President with any creature.
Wali kitimoto wew
 
Kwanza Rais pale Chato ukienda saivi utakuta bendera ya Rais inapepea nyumbani kwake hivyo inamaanisha yupo kazini alafu Rais ni taasisi sio mtu.

Kuwepo kwa bendera ya Rais siyo kigezo cha yeye kufanya kazi, kwa sababu hata kama yuko bafuni, yuko chooni, yuko ktandanani anaota au shughuli nyingine ya kitandani bado bendera itakuwepo.
 
Back
Top Bottom