Hizi likizo za Rais Magufuli ni tofauti na watumishi wengine?

labda kwa baadhi ya taasisi za serikali ila kwa ninayoijua mimi,weekend na holidays haziesabiwi kwenye annual leave ndo maana watu huwa wanagombea mwezi wa 12 maana una holidays nyingi so badala ya siku 28 unapata mpaka 40+
Hqtuzungumzii kujua , tunataka kufahamu sheria inasemaje
 
Sina uhakika kama bado Tanzania kuna haki za watumishi wa umma. Sina uhakika pia kama kwa sasa kuna kanuni na stahiki za mtumishi wa umma. Maana kila siku nawasikia wakuu wa mikoa na wilaya wakizuia likizo za watumishi wa umma. Siku hizi kwa maoni yangu stahiki na haki za mtumishi wa umma ni hisani toka kwa wanasiasa wa CCM.
 
Mida mingine tuwe positive naona hawa Marais wengi wa Kiafrika hawachukui likizo kwa maana halisi bali wanaenda kwao kutembelea ndugu!hata wakiwa hiyo "likizo" bado wanafanya kazi za kijamii au kisiasa;
Na kuwaona Bibi zao pia mkuu!!
 
Wengi humu naona hawamu hii hawaipendi mpaka kujikuta wanapinga kila jambo. Rais Magufuli yupo/alikuwa mapumziko Chato na wala sio likizo. Mfanyakazi wa Umma hakuna likizo jumamosi/jumapili. Alichofanya Rais baada ya kutoka Mwanza kikazi akapitia mapumziko kwake ili Jumatatu aendelee na ratiba zake Kagera.

Tofautisha kati ya mapumziko na likizo.
 
Watumishi wengi wa serikali kawaida husain likizo zao mara moja kwa mwaka au mara mbili(i stand to be corrected)

Inafahamika wazi rais ni sehemu ya utumishi wa umma, tangu huu mwaka uaenze amekwenda kwao Chato kwaajili ya mapumziko (likizo) si chini ya mara 4

Je hivi likizo zake ziko tofauti na watumishi wengine katika nchi hii?
Vipi malipo ya likizo zake nani huzigharamia?

Leave unaweza ukachukua in pieces siyo lazima uchukue yote kwa pamoja
 
Nchi hii ina watu wenye fikra tofauti sana...yaani mtoto unataka kumpangia baba yako muda wa kwenda matembez au kurudi nyumbani daaah!!!
 
Tusijitoe ufahamu. Ofisi ya rais ipo nchi n zima n.a. co kama wewe ukiwa mgambo wa solo la kariakoo ukionekana soko la karume saa za kazi unakuwa umetoroka.
 
sijaona tatizo....ye huwa haendi mwezi+ kama watumishi wengine....so hata kama anaenda siku tatu kila mwezi bado hafikii jumla ya siku za likizo za annual ambazo huwa hazijumlishi weekend na holidays....NB:sio kila kitu ni chakukosoa
Siku za wekend si likizo. Mseme tu kweli. Jmaa hwez kuendesha nch bili kupuliza tungu
 
Watumishi wengi wa serikali kawaida husain likizo zao mara moja kwa mwaka au mara mbili(i stand to be corrected)

Inafahamika wazi rais ni sehemu ya utumishi wa umma, tangu huu mwaka uaenze amekwenda kwao Chato kwaajili ya mapumziko (likizo) si chini ya mara 4

Je hivi likizo zake ziko tofauti na watumishi wengine katika nchi hii?
Vipi malipo ya likizo zake nani huzigharamia?
Mi nadhani hata aina ya utumishi wake ni tofauti pia na watumish wengine. Manake hata issue ya PAYE kwake ni tofauti
 
Watumishi wengi wa serikali kawaida husain likizo zao mara moja kwa mwaka au mara mbili(i stand to be corrected)

Inafahamika wazi rais ni sehemu ya utumishi wa umma, tangu huu mwaka uaenze amekwenda kwao Chato kwaajili ya mapumziko (likizo) si chini ya mara 4

Je hivi likizo zake ziko tofauti na watumishi wengine katika nchi hii?
Vipi malipo ya likizo zake nani huzigharamia?
Likizo ni siku 28.May be ndo zimefikia 28 kwa kwenda mara 4
 
Kwanza niwasalimu baada ya kutoingia JF kwa kujiweka pembeni muda wote huu wa mfungo wa Kwaresma.

Leo nianze na swali lakutaka kuelimishwa mimi binafsi na wengine wasio fahamu kama mimi.

Tumeona kama wiki mbili hizi Rais wetu yuko kijijini kwake amepumzika. Lakini ni majuzi tuu December alikuwa huko pia kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka.

Je, likizo zake zinaratibiwa kiofisi kama mtumishi mwingine yeyote wa umma au yeye akijisikia tuu kwenda kupumzika anakwenda?

Au pia kama kuna majukumu anajihisi yatamtatiza anaweza kujiamlia kuyakimbia (kuyakwepa) na kwenda kujichimbia apendapo bila kuwajibishwa.

Maswali yangu haya siyo ya kiitikadi na yanamhusu yeyote yule anayekabidhiwa dhamana ya kuongoza hiyo taasisi toka chama chochote maana ni ya kikatiba zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mapumziko ya Krismas na Pasaka bwashee usichanganye mambo.
 
Baba yako hapo nyumbani kwenu unaweza kumpangia kitu cha kufanya?

Ukijibu swali hilo hapo juu basi utakuwa umepata jibu la swali lako mkuu!
 
Back
Top Bottom