BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,106
Watumishi wengi wa serikali kawaida husain likizo zao mara moja kwa mwaka au mara mbili(i stand to be corrected)
Inafahamika wazi rais ni sehemu ya utumishi wa umma, tangu huu mwaka uaenze amekwenda kwao Chato kwaajili ya mapumziko (likizo) si chini ya mara 4
Je hivi likizo zake ziko tofauti na watumishi wengine katika nchi hii?
Vipi malipo ya likizo zake nani huzigharamia?
Sawa kaenda sio chini ya mara nne tuambie mara hizo zito katumia siku ngapi!! Kana wakati si vibaya kuficha ujinga wako kwa sababu sio dhambi kufanya hivyo! Unajilinganisha na Rais wa nchi?! Hilooo!