Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,020
- 103,411
Lenye logic.
Sema haki ya Mungu.
Lenye logic.
Hata akiwa ICU kama Boris Johnson? UK alimwachia Dominik Raab ku-deputize hiyo nafasi mpaka atakapopata nafuu ya kuendelea na kazi.Wote hatujui mkataba wa Rais wetu unasema nini kuhusu likizo pia hatujui hata mshahara wake pamoja na kwamba alishwahi kuahidi kuwa atauelezea umma wa watanzania mshahara kupitia salary slip yake anyway👇👇👇......for reference toka kwa mabeberu
The U.S. President is officially “on duty” 24/7/365 for his entire term in office. As such he neither has official vacation leave or sick leave. Even when he is on “vacation” or “sick” he is still the President with the full authority and responsibility of the position.
Hapo sasa....hajui rais ni nani?unataka kujilinganisha na mheshimiwa raisi wa tz!
Kuna mdau kauliza ni nani anamsainia barua ya likizo eti! Wadau hawataki kuamini kwamba rais ni mfalme..na ni mwajiri ...akiwa mahali popote Tanzania anafanya kazi zake vizuri kabisa na serikali inasonga mbele...Tukipata tofauti ya Likizo na mapumziko hapo ndo mjadala utakuwa mtamu
Na Sina hakika kama Raisi anaweza kuwa na Likizo,
Kwanza Rais hahusiki na sheria za kazi kama ELRA au Public service regulations, ni ofisi ya kikatiba, na Rais huwa anatakiwa apumzike kama sikosei kila baada ya miezi mitatu, anachagua akapumzike wapi, lakini pia unatakiwa uelewe kuwa kikatiba Rais atahesabika yupo katika ofisi,kituo cha kazi akiwa sehemu yoyote ya jamhuri ya muungano, na ikitokea ametoka nje atahesabika hayupo nchini kama atakuwa huko kwa kipindi kinachozidi masaa ishirini na nne.(this is the highest office)Watumishi wengi wa serikali kawaida husain likizo zao mara moja kwa mwaka au mara mbili(i stand to be corrected)
Inafahamika wazi rais ni sehemu ya utumishi wa umma, tangu huu mwaka uaenze amekwenda kwao Chato kwaajili ya mapumziko (likizo) si chini ya mara 4
Je hivi likizo zake ziko tofauti na watumishi wengine katika nchi hii?
Vipi malipo ya likizo zake nani huzigharamia?
Ni nani anamteua baba yako kuwa baba yako? Acha upumbavuBaba yako hapo nyumbani kwenu unaweza kumpangia kitu cha kufanya?
Ukijibu swali hilo hapo juu basi utakuwa umepata jibu la swali lako mkuu!
Jibu swali acha kutoa pumba
Baba yako hapo nyumbani kwenu unaweza kumpangia kitu cha kufanya?
Ukijibu swali hilo hapo juu basi utakuwa umepata jibu la swali lako mkuu!