eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,656
- 13,797
- Thread starter
- #21
Mkuu wewe unatoka Dunia gani kiasi hujui matatizo yanayotupata tunaoagiza magari
kwa kifupi hizo ndio formula sijui walidesa wapi maana zimetulia kushinda hat za USA
haya ndio matatizo;
1. ucheleweshaji wa document kiasi kwamba watu wanapata Storage charge kubwa
2. kitu kidogo kwa mofisa wa TRA yaani usipotoa kitu kidogo utalia na ushuru utakaopewa au hata document itapotea ili kukuzingua tuu
3. Nchi imejaaliwa kuwa na bandari nyingi iweje all paper work zifanyiwe DAR yaani ukishusha mzigo Tanga inabidi mambo yote yafanyike Dar hii sijui ni akili au matope kutokana na ubinafsi wao
nawakilisha
Hapo penye nyekundu.....
Kwa nini unasema zimetulia?????? na kwa mawazo yako je wewe waona ni sawa kodi kutozwa kodi????
yaani I/D itozwe EX na EXA ..... kwa ufafnuzi nenda penye mlinganyo pale juu.