Sasa kwa kuwa huna mapenzi naye endelea na utaratibu wako, mwache atampata mwenye mapenzi naye, ukikulaghai umkubali na kumuoa utajutia ndoa yako maana utakuwa unaoa mtu ambaye tayari ameishakukinai, huna mapenzi ya dhati naye.Hapana cjampa mimba ,nilimtosa kabisa kwa sababu cna mapenzi nae.
Hi, are you still in Grand Canaria mamishuu?
Nipo mamishuu.Si mi amigo.......upo hapa........?......
tatizo haeleweki, hadi mwisho ndio nikagundua yeye ni wa kiume......!Nipe samare......nahisi nina ushauri kuhusu hii........
Nafikiri nitasubiri mpaka YESU mtakatifu atakaporudi Mamii au vipi?Si mi amigo.......upo hapa........?......
Nafikiri nitasubiri mpaka YESU mtakatifu atakaporudi Mamii au vipi?
Unajua Preta,mambo ya mzaha mwisho utaumbuka,shauri yako mimi niko Tenerife na mwendo wa madakika mimi kufika Bilbao,sasa niambie uko resort ipi ili nije kama Shinkansen,Uwiiiiii.......nimekuja Bilbao mara moja.........subiri nakuja........
Sasa ina maana mimi ni bonge la fala sana au? wewe mrembo usitumie urembo wako kunyanyasa watu wanyonge kama mimi,hujui kesho wewe unaweza ukapoteza urembo wako na watu wakakukimbia kama wewe unavyonikimbia,ok haya sawa Preta usije sema nimeku curse au vipi,.,.,.. byee byee byeeeeeeeeeeeeeeee ya kutokuonanaaaaaa.Uwiiiiii.......nimekuja Bilbao mara moja.........subiri nakuja........