Hahaha huo ni uchokozi sasa.Kumbe ni wakiume.....!???
Note my words.Thanks mkuu ,nimejitahidi kuandika vizuri ili nieleweke vizuri.
[emoji23] [emoji23] !!Audio please!
Hi, are you still in Grand Canaria mamishuu?Nipe samare......nahisi nina ushauri kuhusu hii........
Tatizo ni CHUO,GHOROFANI,KARIAKOO,NEEMA,NEY,PACHA,KUMPA MIMBA etc mambo yamechanganyika kama mkia wa kuku,anyway acha niumize kichwa nije na solution au vipi?SASA SI UNGEENDA DIRECT TU MKUU KATIKA KUULIZA SWALI LAKO?
SASA MAMBO YA CHUO NA MAGHOROFANI YANAHUSIANA VIPI NA HIZO MESEJI USIZOZIELEWA?
Sasa wewe ndugu kwa nini unapenda kuandika kwa kutumia SHULE YA KATA SYSTEM?,eg CJALI,CKUWEZA,CJAMBO jitahidi kuacha tabia hiyo inakuchora kama vile umesoma chini ya mti.Hata ckuwahi kufikiria kurecord audio sorry for that.
AngalauTatizo ni CHUO,GHOROFANI,KARIAKOO,NEEMA,NEY,PACHA,KUMPA MIMBA etc mambo yamechanganyika kama mkia wa kuku,anyway acha niumize kichwa nije na solution au vipi?
Mtu anaweza akawa na tatizo la ukweli, lakini uwasilishaji wake ukamsababishia watu wasimuaminiIli kuepusha maswali mengi kutoka kwa wadau.