MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Basi uko nyuma sanaHuwezi amini sijasikiliza redio nina miaka. Labda itokee bahati mbaya mtu kawasha kwenye daladala au nyumbani kwake.
Kisa redio tena za bongo.....labda usiwe na source nyingine za taarifaBasi uko nyuma sana
Kwenye television pia mfano wale dadaz eti kila wakati yanaoneshwa na migauni yao utadhani mashetani halafu yamenyataa!!!
mambo ya kijinga ndio yana helaHoja ya msingi sana hii mkuu, yaani media zinatumia nguvu nyingi sana kwa mambo ya kijinga kabisa. Huwezi hata siku moja kusikia wakiungana kujadili changamoto Muhimu za kitaifa kama gonjwa lililopo hivi sasa, na mengine mengi tuu...
Hoja ya msingi sana hii mkuu, yaani media zinatumia nguvu nyingi sana kwa mambo ya kijinga kabisa. Huwezi hata siku moja kusikia wakiungana kujadili changamoto Muhimu za kitaifa kama gonjwa lililopo hivi sasa, na mengine mengi tuu...